Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

Mbona vingine hapo ni uongo tu. Umeweka vitu vingi tofauti kwenye kapu moja.

Kwa mfano.

9. Upendo Nkone (Huyo anayo ndoa, aliolewa mume wake akafariki, akaishi kama mjane na kisha kaolewa tena na yupo kwenye ndoa).

4. Jenifer Mgendi (Maisha yake yote tangu anaimba alikuwa kwenye ndoa vizuri, miaka ya karibuni mume wake akafariki, hivyo kwa sasa ni mjane)
 
Pengine masharti yasiyo ya Mungu wa kweli, ni mawazo tu.
 
Upendo nkone aliishi kwenye ndoa, akawa mjane na baadaye tena akapata mume mchungaji kwani walishaachana? Flora, martha mwaipaja, christina hawa wamevuruga ndoa zao juzi juzi tu. Flora aliolewa tena na dogo fulani tall hivi. Kina bahati wanasema hawawezi kuwa ubavu kwa asiye saizi yao. Hao wengine ni majimama tu yaliyovuruga ndoa zao, sijui yanaishije ili hali ni wanawake wenye afya njema kiasi cha kuhitaji tendo la ndoa, wanafanya na nani kama si wazinzi?
 
Mambo ya Rohoni ni tofauti na mambo ya mwilini.

Ukiwa wa Rohoni ya mwilini unaona hayana thamani.

Biblia ktk Muhubiri inasena ni ubatili mtupu....

NB: Mwenye macho ya Rohoni ataelewa.
 
DINI na NDOA ni vitu viwili tofauti na wala havitegemeani...
Ndoa ni UTIMAMU na MAAMUZI, ila kama uliingizwa mkenge na DINI kuingia kwenye NDOA tegemea lolote maana ilianza NDOA wakaja matapeli wa DINI kuihodhi..
 
Mambo ya Rohoni ni tofauti na mambo ya mwilini.

Ukiwa wa Rohoni ya mwilini unaona hayana thamani.

Biblia ktk Muhubiri inasena ni ubatili mtupu....

NB: Mwenye macho ya Rohoni ataelewa.
Kuwa rohoni ni kushindwa ndoa ambalo ni jambo la heri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…