Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

Nadhani hapo kwa upendo nkone tuweke pause kidogo. Ni mjane
 
Ndoa ni karama kama ilivyo uimbaji. Sometimes ni vigumu kumiliki karama zote mbili
 
Ach
Acha zako hao ni wasimbe Yani walikuwa kwenye ndoa wakajitenga
 
 
Y
Mambo ya Rohoni ni tofauti na mambo ya mwilini.

Ukiwa wa Rohoni ya mwilini unaona hayana thamani.

Biblia ktk Muhubiri inasena ni ubatili mtupu....

NB: Mwenye macho ya Rohoni ataelewa.
Yaani kifupi unaungama na kuvunja maandiko kwa kusingizia Rohoni wao wapo Rohoni sana kuliko Mungu aliyesema mke na mme ni agano la kilele mpaka kifo kiwatenge
 
Kwasababu ni wasagaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…