Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

Itapendeza ukiweka na list ya waimbaji wa kiume mkuu🙏🏼
 
Wana nyota ya uwahawara

Wengi vipusa WA wachungaji mkuu na manabii
 
Wakiolewa wale n sawa na kuua makanisa maana ndoa za wachunga....zitateteteka sana
 
Upendo Nkone mtoe hapo, mumewe alikufa.

Huyo Jennife Mgendi ndoa yake imeenda wapi kwani? ameachika??
 
Joyce Omondi yupo kwenye ndoa miaka mingi.
Pia Upendo Nkone alifiwa na mume baadae akaolewa tena
 
Kuna tofauti kubwa ya kuwa mtu wa kiroho na kuwa mwimbaji wa injili.. sio wote wanaorukaruka wana mguso wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…