Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

Wengi wameshaolewa ila wameachika. Kuachika ni kwa Sababu ya vitu vingi vingine ni wanavijua wao na wenzi wao wa zamani.

lakini mambo makubwa yanayosababiaha kaachana kwao ni pamoja na wao kusahau majukumu yao kama wake, na pia kujikweza mbele ya waume zao.
 
Kwa sababu ni makahaba,kazi Yao inawafanya wawe huru na wakipata pesa hawaoni umuhimu wa kuolewa,wanaishia kugongwa tu
 
Usiombe mwanamke akapata hela na shule hakuenda.

Akiwa Educated at least
 
1. Rose Mhando hana ndoa
 
Wanawake waliopata fedha na umaarufu wengi wao wanaoa, yaani wanaoa au wanachukua mario wa mjini, alafu yeye sasa ndio anakuwa na uhuru/sauti ndani ya nyumba.
 
Kwanza, wengi hujitolea kikamilifu kwa kazi ya injili, hali inayoweza kupunguza muda wa kushughulikia mahusiano ya kimapenzi.

Aidha, matarajio makubwa ya jamii kuhusu maadili yao huwafanya waogope kufanya makosa, kuhofu ikiwa ndoa hiyo haitafanikiwa.

Pia, changamoto ya kupata mwenza mwenye maono yanayolingana na yao ni kubwa, kwani wanahitaji mtu anayeelewa na kushirikiana maono ya kiroho.

Umaarufu wao pia huleta shinikizo, ikiwemo ukosefu wa faragha na uvumi. Wengine huamua kutoolewa kwa hiari, wakiona maisha ya ukapera kama njia bora ya kujitolea zaidi kwa Mungu.

Kwa ujumla, hali yao ya ndoa haipaswi kutumiwa kama kipimo cha mafanikio au uadilifu wao, bali tunapaswa kuheshimu maamuzi yao binafsi.

Ova
 
tena wa J Mgendi alifariki kwa covid 19 kipindi cha magufuli, na msiba tulihudhulia japo kwa kuzingatia covid issue, so utaratibu ulikua mzuri, ni mjane huyo
 
tena wa J Mgendi alifariki kwa covid 19 kipindi cha magufuli, na msiba tulihudhulia japo kwa kuzingatia covid issue, so utaratibu ulikua mzuri, ni mjane huyo
Asante Kwa taarifa Mkuu
 
Ijulikane ndoa inanafasi yake na uchumi unanafasi yake mkuu,, hivi kuna watu ni masikini kabisa lkn wameoana na ndoa zao zinamda mrefu tu,wajua Hilo?,,uendekezaji wa pesa na mambo ya dunia,unawapeleka kwenye uzinzi mkubwa na maangamizi.
Ndoa ni kwa ajili ya watu maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…