Hii ndiyo majina BoraNilikuwa napenda sana jina la yule mbunge wa Iringa mjini miaka ile ya 95-2000 nipo primary alikiwa akiitwa Mfwalamagoha Ulanzi wa Ng'ombe Kibasa. Spika Msekwa alikuwa akimuita ilikuwa burudani
johnthebaptist unamkumbuka huyo mwalimu aka mh mbunge?
HhhhhSasa hivi tuna Palamagamba Kabudi mwenye mijicho kama gong'ole.
Ni mtumwa wa fikraMbona mimi majina yote matatu ni yakizungu na sina undugu nao wowote...ila hata jina la ukoo hatulijui
Lakini tulitakiwa tuutukuze utu wetu kwanza tujipe nafasi ya kwanza ndiyo mengine yafuatie.Jina ni namna mtu atakavyo na moyo ukafurahi. Jina ni utambulishi wako, namna utakavyotaka kutambulika ili mradi lisiwe tusi ana karaha kwa wengine.
Hayo mambwembwe mengine hayana ishu wala hayakuongezei pesa
Slavery mindsetMbona mimi majina yote matatu ni yakizungu na sina undugu nao wowote...ila hata jina la ukoo hatulijui
Akina Shawala ni wasafwa wa MbeaKibasa alikuwa Mwalimu wangu wa Kemia pale The Highlands Sec School kabla Mwembetogwa Sec School haijaanzishwa!
Alikuwa na mwenzake anaitwa Shawala
Umeongea vema sana.lakini hata wakristo kuna haja gani kutumia majina ya kwenye biblia au western names.umasikini wa fikra kwa mtu mweusi na uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo.kuna majina watoto wamepewe hadi unaona aibu na huruma.Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?
Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki
Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake
Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Hata wewe tupe majibu kuna ulazima gani kuitwa joseph au marko badala ya Ambakisye au anyonelile.Mi nataka jawabu tu. Nadhani dada yangu FaizaFoxy atanijibu kiungwana kama kawaida yake
Hii tafiti kuwa wengi ni waislamu umeifanyia wapi mzee? tatizo hili lipo kwa wote wala hakuna alie mzidi mwenzakeUtakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?
Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki
Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake
Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Ulichokiandika ni kweli, wengi hatutumii majina ya ukoo,Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?
Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki
Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake
Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Kwaio huko uchagani hakuna waislamu[emoji849]Hakuna mchaga anayekosa jina la ukoo
Ndugu zetu waislam njooni hapa mjibu?
PombeUlichokiandika ni kweli, wengi hatutumii majina ya ukoo,
Hata mimi kwenye vyeti vyangu yapo majina mawili Tu [emoji26]
Ni kosa ambalo sitakuja kulifanya kwa watoto wangu, kwetu tuna jina la ukoo matata Sana, yaani mtu akilisikia kwa mara ya kwanza Tu halisahau tenaa au hata akilisahau kila muda atakuwa analijaribu kulitaja
Nakuwaga maarufu ghafla popote pale ninapotumia jina langu la ukoo
Akina kitu moto wapo huko songea,nanguruwe,nyokaSoma betweeen line , angalau kuna jina la ukoo kwa wakristo lipo mwisho. John Mkandawile, Peter Kitimoto, Hadija Musa (unaona)
Kifupi ni kwamba kwenye uislamu, mtoto akizaliwa anataratibu zake na haki zake anazostahili. Moja haki ya mtoto ni kupewa jina zuri, narudia jina ZURI. Kwa mtiririko huo automatically majina ya kitamaduni yanatoweka kwasababu wazee wetu wasasa ndio watoto wa juzi waliopewa majina mazuri.Ulichokiandika ni kweli, wengi hatutumii majina ya ukoo,
Hata mimi kwenye vyeti vyangu yapo majina mawili Tu [emoji26]
Ni kosa ambalo sitakuja kulifanya kwa watoto wangu, kwetu tuna jina la ukoo matata Sana, yaani mtu akilisikia kwa mara ya kwanza Tu halisahau tenaa au hata akilisahau kila muda atakuwa analijaribu kulitaja
Nakuwaga maarufu ghafla popote pale ninapotumia jina langu la ukoo
Kwa sasa wanakubali. Angalia DRC kuna wakatoliki wengi na majina yao karibu 100% ni kibantuLabda wanajivua gamba kama wakatoliki, mfano mkatoliki hawezi kumbatiza mtoto kwa jina tmfano Tulinave, Maganga, Marwa, Tuntufye, Ntwa, Kibisi, ngonyani, Kikwete , lowasa , huo ni utumwa wa kifedhuli