impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Hii ndiyo majina BoraNilikuwa napenda sana jina la yule mbunge wa Iringa mjini miaka ile ya 95-2000 nipo primary alikiwa akiitwa Mfwalamagoha Ulanzi wa Ng'ombe Kibasa. Spika Msekwa alikuwa akimuita ilikuwa burudani
johnthebaptist unamkumbuka huyo mwalimu aka mh mbunge?
Wakati mwingine najisikia furaha Kwa majina ya ukoo maana mtaani Nina jina la pekee