Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Nilikuwa napenda sana jina la yule mbunge wa Iringa mjini miaka ile ya 95-2000 nipo primary alikiwa akiitwa Mfwalamagoha Ulanzi wa Ng'ombe Kibasa. Spika Msekwa alikuwa akimuita ilikuwa burudani

johnthebaptist unamkumbuka huyo mwalimu aka mh mbunge?
Hii ndiyo majina Bora
Wakati mwingine najisikia furaha Kwa majina ya ukoo maana mtaani Nina jina la pekee
 
Labda wanajivua gamba kama wakatoliki, mfano mkatoliki hawezi kumbatiza mtoto kwa jina tmfano Tulinave, Maganga, Marwa, Tuntufye, Ntwa, Kibisi, ngonyani, Kikwete , lowasa , huo ni utumwa wa kifedhuli
 
Jina ni namna mtu atakavyo na moyo ukafurahi. Jina ni utambulishi wako, namna utakavyotaka kutambulika ili mradi lisiwe tusi ana karaha kwa wengine.
Hayo mambwembwe mengine hayana ishu wala hayakuongezei pesa
Lakini tulitakiwa tuutukuze utu wetu kwanza tujipe nafasi ya kwanza ndiyo mengine yafuatie.
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Umeongea vema sana.lakini hata wakristo kuna haja gani kutumia majina ya kwenye biblia au western names.umasikini wa fikra kwa mtu mweusi na uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo.kuna majina watoto wamepewe hadi unaona aibu na huruma.
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Hii tafiti kuwa wengi ni waislamu umeifanyia wapi mzee? tatizo hili lipo kwa wote wala hakuna alie mzidi mwenzake
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
Ulichokiandika ni kweli, wengi hatutumii majina ya ukoo,

Hata mimi kwenye vyeti vyangu yapo majina mawili Tu [emoji26]

Ni kosa ambalo sitakuja kulifanya kwa watoto wangu, kwetu tuna jina la ukoo matata Sana, yaani mtu akilisikia kwa mara ya kwanza Tu halisahau tenaa au hata akilisahau kila muda atakuwa analijaribu kulitaja

Nakuwaga maarufu ghafla popote pale ninapotumia jina langu la ukoo
 
Pombe
 
Kifupi ni kwamba kwenye uislamu, mtoto akizaliwa anataratibu zake na haki zake anazostahili. Moja haki ya mtoto ni kupewa jina zuri, narudia jina ZURI. Kwa mtiririko huo automatically majina ya kitamaduni yanatoweka kwasababu wazee wetu wasasa ndio watoto wa juzi waliopewa majina mazuri.

#ni vizuri tu umetanguliza kusema sio wote.
 
Uislamu uliingia mapema Tanzania, hivyo Kwa mikoa ya Pwani mtu hadi kizazi Cha saba walikuwa waislamu.

Kwa watu wa bara mtu kajitahidi kizazi Cha tatu lazima watakuwa wakina Sukununu na Atupile.
 
Labda wanajivua gamba kama wakatoliki, mfano mkatoliki hawezi kumbatiza mtoto kwa jina tmfano Tulinave, Maganga, Marwa, Tuntufye, Ntwa, Kibisi, ngonyani, Kikwete , lowasa , huo ni utumwa wa kifedhuli
Kwa sasa wanakubali. Angalia DRC kuna wakatoliki wengi na majina yao karibu 100% ni kibantu
 
Back
Top Bottom