Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Buji buji na Pascal mayala ni watu Huwa nawakubali sana ila tatizo wanauchukia Uislam kutoka ndani ya nafsi zao.Nadhani mlimezeshwa sumu mbaya sana mkiwa wadogo.Punguzeni chuki za kidini,Make msitari wa Imani na uwendawazimu ni mwembamba sana.
 
Ni mentality slave tu, wala hakuna kingine.

Kwanza hakuna majina ya dini yoyote, Bali ni majina ya mashariki ya kati.

Wakristo wa sehemu hizo hawatumii majina ya kizungu.

Mfano Tareq Aziz vice President wa Saddam Hussein ni Mkristo mkatoliki.
Kwenye jamii kizazi cha kwanza kikipotoka na jamii inayofuata nayo itapita mule mule.
 
Mimi sikubaliani na observation Yako. Labda kwa kiasi fulani upande wa Zanzibar lakini sio bara. Wapo waislamu wengi mno majina yao ya pili au hasa ya tatu ambayo ni ya ukoo, ni majina ya kiafrika kabisa. Nikisema nikutolee mifano ni mingi mno. Kwa upande wa Zanzibar ni kweli, Nako ni kwa sababu za kihistoria. Uislamu uliingia Zanzibar miaka mingi mno kabla ya bara, hivyo Yale majina ya typical Africans ambayo mara nyingi Huwa ni kizazi Cha tatu ( jina la tatu) yalishatoweka baada ya kizazi kilichosilimi kuwa kilishatoweka kitambo. Waliobaki ni wale waliozaliwa katika uislamu na kupewa majina ya kiislamu. Kwa upande wa bara dini kidogo zilichelewa. Hivyo majina ya tatu Bado yapo sana tu. Lakini kadiri tunavyokwenda mambo yanabadilika

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kama Majina Ya Asili hayana Maana Nzuri Au hayavutii Kutamkwa ya Nini sasa.
 
wee chok unatafuta bash...a wakiislamu mwenye jina la kibantu nini?wee sindio girles wewe?toka hapa sheitwani wewe

Maababu zetu walizingua sana kupokea hizi mila za washezi waarabu na wazungu,sasahivi jamii zetu zimechanganyikiwa hadi majina ya wazee wetu tume yaacha.
 
Ni mentality slave tu, wala hakuna kingine.

Kwanza hakuna majina ya dini yoyote, Bali ni majina ya mashariki ya kati.

Wakristo wa sehemu hizo hawatumii majina ya kizungu.

Mfano Tareq Aziz vice President wa Saddam Hussein ni Mkristo mkatoliki.

Tariq Aziz (Arabic: طارق عزيز Ṭāriq ʿAzīz, 28 April 1936 – 5 June 2015) was an Iraqi politician who served as Deputy Prime Minister, Minister of Foreign Affairs and a close advisor of President Saddam Hussein. Their association began in the 1950s when both were activists for the then-banned Arab Socialist Ba'ath Party. He was both an Arab nationalist and a member of the Chaldean Catholic Church.[1][2][3]
 
Maababu zetu walizingua sana kupokea hizi mila za washezi waarabu na wazungu,sasahivi jamii zetu zimechanganyikiwa hadi majina ya wazee wetu tume yaacha.
Hujalazimishwa kutumia
 

Yatatoweka kwenu watumwa wa kifikra,kushindwa kuezi wazee wako ni moja ya upuuzi mkubwa kuwahi kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…