Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

mababu zenu wajinga waliokuwa wanateswa? halafu uje urithi jina lake?unaakili kweli wewe au umejaza matope?

Basi usiseme urisi jina tuu inatakiwa urisi na matendo yao sawa wee chizi? utembee kwa mguu Safari ndefu usipige mswaki kwa dawa,ukekete watoto wakike,usisome,yaani kiujumla uishi Kama wao walivyo ishi utaweza wee kenge?

halafu unakuja kusema tunaiga wazungu na waarabu kwanini tusiige mababu zetu🤣wee na huyu muanzisha uzi ni maku.....m...aaaaaa
Maababu zetu walizingua sana kupokea hizi mila za washezi waarabu na wazungu,sasahivi jamii zetu zimechanganyikiwa hadi majina ya wazee wetu tume yaacha.
u
 
Bujibuji mi muislam ila nna Jina la ukoo waso na majina ya ukoo ni wazanzibar ila Kwa bara almost tuna majina ya ukoo na asili
 
Hii ilimkuta mdogo wangu anajuta hakutumia Jina la ukoo shuleni baasii anatuonea dongee,usichana ulimponza
 
Wao huamini ni waarabu, wajukuu wa mtume,kumuita Kalimanzira anaoma noma
 
Nina watoto watano, wote wana majina ya asili. Hakuna jina la Kigeni kwangu.

Nimekataa huo utumwa! Nashangaa mtu anampa mwanaye jina eti John Paul Joseph. Ujinga na ufala mtupu. Huwezi kukuta mzungu au mwarabu anampa mtoto jina la kiafrika hata iweje, ila sisi sasa. Dah!
 
Ndekule Mwana wa Mlumbe
 
sababu kabla ya uhuru waislamu tanzania walikuwa wengi saana 95% ni waislamu sasa kizazi cha leo kimepita wababu sita wote majina ya kiislamu utaipata wapi jina ambalo sio la kiislamu
 
Hao ni waislam wa Zanzibar, Mafia,kilwa ambako uislam upo kwa zaidi ya miaka 900
 
sababu kabla ya uhuru waislamu tanzania walikuwa wengi saana 95% ni waislamu sasa kizazi cha leo kimepita wababu sita wote majina ya kiislamu utaipata wapi jina ambalo sio la kiislamu
A brief and brilliant clarification to this idiotic thread

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Mdogo wangu Kwa lugha ya matusi unayotumia kujibu hoja za wengine,nina wasiwasi na afya yako ya akili,na kiwango chako cha elimu.
 
Mdogo wangu Kwa lugha ya matusi unayotumia kujibu hoja za wengine,nina wasiwasi na afya yako ya akili,na kiwango chako cha elimu.
wee nae ndio walewale.umejuaje kwamba Mimi nimdogo kwako?au unaleta hisia zako humu?binti Linda ndoa yako utaachika..
 
Mimi nnavofafamu mtu hutumia majina matatu, la kwake, la baba yake na kisha la babu yake. Sasa kama katika wote hao hakuna mwenye jina hilo unaloita la ukoo, unataka alitolee wapi?
 
wee nae ndio walewale.umejuaje kwamba Mimi nimdogo kwako?au unaleta hisia zako humu?binti Linda ndoa yako utaachika..
Kwa lugha yako unaonekana mtoto au kiwango chako cha elimu kimeishia degree.Watu wazima na wasomi hawawezi kutumia lugha hiyo mdogo wangu
 
bashiri kakurwa? zitto zuberi kabwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…