Ajabu hoja ya wazi kama hii waliokuwa wenzetu, leo wako na ma CCM na k*ngai huko, kuipinga.
Kwani wewe bado unamuamini Mbowe aliyehongwa na aliyemwita fisadi LOWASA baadae akala matapishi yake?weka jina lako halisi kama siyo waoga sisi? sis ni waoga..... brazaj kama unamwamini Slaa aliyehongwa na magufuli ubalozi akatupa kila alichokiamini for "centuries", basi naanza kukuelewa sasa ni mtu wa namna gani!
Kisiasa Dr Slaa ni mkubwa kuliko CHADEMA nzima. Kosa la Slaa ni moja tu. Alivyoropoka wakati Mbowe akiwa jela. Lile kosa halisameheki kwa namna yoyote ile. Imagine wewe uko jela halafu shetani mmoja anafurahia unavyoshikiliwa na kukerwa na sauti za watu wanaokutetea utoke? Pale Slaa hata mimi nisingeweza kumsamehe. Mwaka 2010 Slaa alisema nchi haitatawalika baada ya Kikwete kutangazwa mshindi. Kimsingi Dr Slaa hapaswi kabisa kusamehewa na CHADEMA. Mwabukusi na Mdude ni wapuuzi na wadogo sana kwenye haya mambo hivyo wanapaswa kupuuzwa.
Yawezekana, Je alikuwa na agenda yeyote ile?Yawezekana alikuwa kwenye kuwasilisha agenda za wananchi.
Mjumbe hauwawi!
Yawezekana, Je alikuwa na agenda yeyote ile?
Ukipewa maagizo je?? Unaweza fikiri(yawezekana)
picha huwa zinadanganya?
Huwa naamini Una busara kuliko Chawa wengine, lakini kuna baadhi ya comments zinasababisha nitilie Shaka msimamo wangu.Tatizo Chadema wanaona kina Mwabukusi wanawafunika!
View attachment 2773456
Hebu cheki alivyozungukwa na Mapolisi wa CCM.
Mwabukusi,Slaa na Mdude wameamua kwenda Mbeya na sisi CHADEMA tutakuwa huko.Kutofautiana kimawazo ni jambo la afya tu. Yote tisa ila la Mwabukusi waliona je ndugu?
Kweli ipo sababu yoyote ya kutowaunga mkono kina Mwabukusi kwenye harakati hIzi za kupambana na adui yetu kwa vitendo?
Samahani mkuu nataka kupata elimu kidogo kutoka kwako angalau nifahamu baadhi ya mambo. Kwamba kugombea ubunge ambao kwa uelewa wangu mdogo ni kutaka kuwa mwakilishi wa wananchi katika chombo kikuu cha maamuzi katika nchi nako ni kuchumia tumbo? Sasa ni platform ipi ambayo kwayo tafsiri yake haitakua kuchumia tumbo? Kwa maana naamini katika nadharia moja kwamba binadamu ni mchumi kwa asili yake kwa maana anafanya jambo akitegemea malipo (returns) kwamba hata matajiri huwasaidia maskini sio kwa sababu wanawapenda maskini hapana sababu wanategemea thawabu kama malipo au wanategemea msamaha wa dhambi kama malipo. Na naamini pia kuchumia tumbo ni jukumu la kila mtu anayefanya kazi iwe halali au haramu. nisaidie RetiredMwabukui aligombea ubunge akakosa...means naye ni mchumia tumbo tu kama wengine........... akipata madaraka huwezi jua atakuwaje......kama anagombana na akina Chadema wakati lengo lao ni moja, basi ujue ni takataka tu kama Slaa
Wasambaritishane wenyewe halafu muwabandikie wengine ndio watambuliwe wasambaritishaji-Hiyo sio DemokrasiašTunajua Kuna wenye kuhaha kutaka kutusambaratisha kwa sababu zozote. Yaani hata za kijinga tu:
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Sasa ndugu hata kwa picha za kipaimara?
Huwa naamini Una busara kuliko Chawa wengine, lakini kuna baadhi ya comments zinasababisha nitilie Shaka msimamo wangu.
Hivi kuna Chama kinaweza kukubali kuingia kwenye mipango inayopangwa nje ya Chama Chao? Mbona walipotaka Mkutano wa Dar CHADEMA waliomba kibali na wakakaribishwa? Baada ya hapo wao watatu wakaitisha Mkutano wa waandishi wa habari na kutangaza maandamano yasiyo na kikomo baada ya siku 30 CHADEMA hawapo na hawajui. Updates za maandamano wanatoa wao. Chama gani makini ungetegemea kiwe na mfumo nje ya mfumo?
Wasambaritishane wenyewe halafu muwabandikie wengine ndio watambuliwe wasambaritishaji-Hiyo sio Demokrasiaš
====================
Ajenda ya Wananchi ni nini na ni nani anaye sababisha au kupanga Ajenda?
Brazaj, adui wangu mimi ndiye adui wako wewe?
Je, ndiye adui wa CHADEMA na SYW.
Tatizo lipo wapi la kumtwanga adui wetu, kama yupo?
Issue ni kuwa kuna mtu alisema hawa wanaharakati ni safi, wanania ya dhati, si kama wanasiasa ambao ni wachumia tumbo! Nikasema hata Mwabukusi ni mchumia tumbo, haya ya uwakilishi ni kujishikiza.... kwani lazima uende bungeni ili uweze kuwatumikia wananchi. Unatafuta penye greener pastures , then unawatumikia wananchi. na Tanzania kwenye greener pastures ni bungeni/siasa (ukiacha biashara).Samahani mkuu nataka kupata elimu kidogo kutoka kwako angalau nifahamu baadhi ya mambo. Kwamba kugombea ubunge ambao kwa uelewa wangu mdogo ni kutaka kuwa mwakilishi wa wananchi katika chombo kikuu cha maamuzi katika nchi nako ni kuchumia tumbo
Ni sawa, ila lazima tuone kwa vitendo na sio maneno matupu. Binafsi sijaliona hilo ila bado nangojea. Nilishauri nini cha kufanya. Huenda wahusika bado wanatafakari.Kwamba hakuna katiba mpya, hakuna chaguzi; ni agenda yetu ya turufu kwenye mustakabala wetu kama taifa, na inawezekana."
Kwanza ninyi mnaonekana ni waoga sana maana kama wewe kuna siku tairi ya gari ilipasuka nilikushangaa ulivyohangahika wakati huwa unajisifu wewe huogopi. Acha uongo usidanganye wenzako.Jitihada za kina Mwabukusi ni zenye mlengo wa kuwakabili maadui zetu kwa vitendo.
Kina Mwabukusi hawaongelei agenda za vyama. Kina Mwabukusi wanaongelea agenda za wananchi.
Nini kilicho bora kuliko agenda za wananchi?
Ikumbukwe ukombozi hauhitaji watu wote:
View attachment 2773394
Hapa ndipo zilipo tofauti zetu na kwingine pote.
"Mwoga yeyote asitwambie watanzania ni waoga. Mwoga yeyote asitwambie sisi ni tofauti na Kenya."
Tuwakumbushe waoga hawa kuwa Kwingine hawana urafiki wala uadui wa kudumu. Pia kwingine, na vigogo huwepo kwenye maandamano.
"Kwamba hakuna katiba mpya, hakuna chaguzi; ni agenda yetu ya turufu kwenye mustakabala wetu kama taifa, na inawezekana."
Jambo la kheri ni kuwa, vuguvugu la kina Mwabukusi limetuonyesha nani ni nani baina yetu.
Wote wachumia tumbo.Hata huyo uliyemu-quote Fidel Castro mwisho wa siku alimwachia nchi mdogo wake....