Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

siku ukiwaelewa hao mama zetu ujue unakaribia kufa
 
Mapenzi bwana ni kama yana kapepo flani hivi...

1. Ukiwa huna demu ni ngumu kupata mbunye.

2. Ukiwa na single madha, wasubiri msururu yaani unagusa tuu

3. Ukiwa na mke wa mtu , wasubiri

4. Ukiwa na upepo wa wanafunzi ... Tobaaa

5. Ukiwa na upepo wa wauza mgahawa .... Ujue hawapindui

6. Ukiwa....
7. Ukiwa.....


Na kadhalika
 
Very true
 
Play boys wana tach flav hivi ammaizing ambazo ukiwa na gentlemen ni ngumu kuzipata tena akiwa na pesa Looh. Yaan tuna kazi sana kuchagua moja..hivi viplay boys vnajua tunapenda nn.
 
Play boys wana tach flav hivi ammaizing ambazo ukiwa na gentlemen ni ngumu kuzipata tena akiwa na pesa Looh. Yaan tuna kazi sana kuchagua moja..hivi viplay boys vnajua tunapenda nn.
Vinawatesa sana eti
 
📌
 
siku za ujana za mwanamke si nyingi kama ilivyo kwetu sisi wanaume yaani akizaa tu tayari dosari so katika ujana wao wanawake wengi hutamani kuwa na mtu mwenye pilika pilika nyingi ili waweze kuinjoy mengi ya dunia ambayo hawatayaona wakiwa wamevuka hiyo stage, asa kwa mwanaume mstaarabu hivyo vitu havipo so wanaona play boys ndio watu sahihi.
 
Hawa bad boys wanapendwa sana na wanawake sababu wanaishi maisha ya kufake kwanzia kuvaa,kula,na kunywa hawa wengi hawana malengo ya mafanikio watu kama hawa ata akipata milion 1 inaweza kaishia kweny mavazi na vinywaji matokeo yake huishia kuzalisha wanawake na kuacha na kuacha familia zenye maisha magumu

Tofauti na vijana wastaarabu ambao hawa wao wanaishi maisha ya kawaida hawapendi kuigiza maisha hii ndo sababu hawapendw na wanawake wao ni watu wa malengo ya kupata mafanikio na kuhakikisha familia yake inakuja tuishi maisha mazuri
 
Ndio maana binafsi siwezi kumuonea huruma single mother never kwa sababu ni wajinga na kipindi cha ubinti walikuwa wanajivuna na kudharau nice guys
Unakuta kana vitoto kimwanaume kilichozalisha hakieleweki kimaisha nk.. Sometimes nikimtokea single mom afu aanze kunizungusha huwa napiga chini yaani uzalishwe huko afu uje kunizingua
 
Wewe jamaa na mapenzi wapi na wapi, kacheze masebene ya Wcb
 
punguza hasira mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…