General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Alafu Jiwe lina Rangi ya Gizaa (Jeusiiii)1. Bila kubusu lile jiwe pale Makka hakuna Uislam
2. Bila Kiarab hakuna Uislam
Nasubiri povu nikupe nyingine za mbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu Jiwe lina Rangi ya Gizaa (Jeusiiii)1. Bila kubusu lile jiwe pale Makka hakuna Uislam
2. Bila Kiarab hakuna Uislam
Nasubiri povu nikupe nyingine za mbavu
Jifunze kujibu swali kama lilivyo ulizwa😂😂😂Hii Aya nishakuambia kwamba hilo jiwe kwanza limekuwa Jeusi kwa dhambi za binadamu.
Jiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.
Tunaposema litakuwa na mdomo sijui pia tunamaanjsha Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaa na jiwe hilo.Na wasiokuwa waislamu haijuzu kwao kuwazulia waislamu juu ya jiwe hilo kinyume na maelezo yaliyomo kwenye hadithi tulizozitaja.
 'Umar ibnul-Khatwaab.
Means lilikuwepo na ukisoma mwanzo utajua limetoa wapi usisome nusu nusu then nenda mpaka mwisho ya hiyo hadithi ndo utajua halina uhusiano wowote na mamlaka ya Mungu
Nimekupa Aya mpaka mwisho huelewi ebu rudia juu ..Jifunze kujibu swali kama lilivyo ulizwa
Umar kasema ni jiwe tu halinufaishi chochote
Muhammad kasema linafyonza dhambi na litasimama siku ya hukumu kutoa ushahidi
Kati Yao nani mkweli?
Chakgua jibu
1. Umar
2. Muhamm niad
Kati Yao nani mkweli?Nimekupa Aya mpaka mwisho huelewi ebu rudia juu ..
Muhammad kasemaje wakati umar anasimulia ya Muhammad🤔Kati Yao nani mkweli?
Chakgua jibu
1. Umar
2. Muhamm niad
Umar kasema jiwe halina manufaa yoyote ni jiwe tuMuhammad kasemaje wakati umar anasimulia ya Muhammad🤔
Wapi muhamad kasema ? Wakati umar ndo anasimuliaUmar kasema jiwe halina manufaa yoyote ni jiwe tu
Muhammad kasema linafyonza dhambi na pia siku ya hukumu litashuhudia
Nani mkweli
1 . Umar
2. Muhammad
"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu,
Wapi kataja? Sio kufyonza ilisemwa limekuwa Jeusi kwa sababu ya dhambi za watu 😂😂jamaa naquote ila wapi husomi.Shida unajitoa ufahana Umar kasema jiwe halinufaishi
Muhammad kataja manufaa ya jiwe ikiwemo kufyonza dhambi na siku ya mwisho kusimama kuongea
Nani mkweli
1. Umar
2. Muhammad
Ibada ya jiweJe ni wapi kapingana na mtume? yeye kabusu kwa vile mtume alibusu japo halina maana yeyote ile..
Hadith inasema Lina FUTA dhambiWapi kataja? Sio kufyonza ilisemwa limekuwa Jeusi kwa sababu ya dhambi za watu 😂😂jamaa naquote ila wapi husomi.
😂😂😂unaelewa Wana maana gani? Izo ni dini zilikuwepo tangu hata kabla ya kuja kwa yesu ndo maana hata nabii Ibrahim alivunja masanamu so hawa wao walikuwa wanaoabudu masanamu na mawe ...Kama ule ukuta kule Israel una baadhi ya michoro ya watu wa kale ndo wanaoabudu na kwenda kusujudu .Ibada ya jiwe
Sahih al-Bukhari 4376, 4377
Imesimuliwa Abu Raja Al-Utaridi:
Tulikuwa tunaabudu mawe, na tulipopata jiwe bora kuliko ile ya kwanza.
tungetupa la kwanza na kuchukua la pili, lakini ikiwa hatungeweza kupata jiwe basi tungekusanya ardhi (i.e. udongo) na kisha tuleta kondoo na maziwa ambayo tungeweka juu yake, na kuifanya Tawaf kuizunguka
Leta hadithi mbona hueleweki? Iyo ni mythHadith inasema Lina FUTA dhambi
Uwe makini hii Hadith nimesha wekaLeta hadithi mbona hueleweki? Iyo ni myth
Wamesema walikuwa wanalizunguka jiwe kwani wewe ukienda macca unafanyaje ukiwa huna nguo za ndani?😂😂😂unaelewa Wana maana gani? Izo ni dini zilikuwepo tangu hata kabla ya kuja kwa yesu ndo maana hata nabii Ibrahim alivunja masanamu so hawa wao walikuwa wanaoabudu masanamu na mawe ...Kama ule ukuta kule Israel una baadhi ya michoro ya watu wa kale ndo wanaoabudu na kwenda kusujudu .
Please fanya kuqoutr Qur an maana ndo tunafuata.
Kwa sababu unaruka ruka jibu wewe kama weweWapi kataja?
Halina manufaaa kwa vile sio lazima ? Leta wapi pameandikwa ni faradhi kwamba dhambi zinasamehewa kwa jiwe.Kwa sababu unaruka ruka jibu wewe kama wewe
Jiwe lina manufaa hai halina manufaa
Jibu simple
1. Ndio linamanufaa
2. Hapana halina manufaa
Nataka reply ya 1 au 2
Jiwe linalotembelewa na linalo sujudiwa kuelekea lilipo kila siku mara Tanojapo halina maana yeyote ile..