Kwanini Wakristo mnamkosea Yesu heshima mnapomchora

Kwanini Wakristo mnamkosea Yesu heshima mnapomchora

😂😂😂Hii Aya nishakuambia kwamba hilo jiwe kwanza limekuwa Jeusi kwa dhambi za binadamu.

Jiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.

Tunaposema litakuwa na mdomo sijui pia tunamaanjsha Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaa na jiwe hilo.Na wasiokuwa waislamu haijuzu kwao kuwazulia waislamu juu ya jiwe hilo kinyume na maelezo yaliyomo kwenye hadithi tulizozitaja.
 'Umar ibnul-Khatwaab.

Means lilikuwepo na ukisoma mwanzo utajua limetoa wapi usisome nusu nusu then nenda mpaka mwisho ya hiyo hadithi ndo utajua halina uhusiano wowote na mamlaka ya Mungu
Jifunze kujibu swali kama lilivyo ulizwa
Umar kasema ni jiwe tu halinufaishi chochote
Muhammad kasema linafyonza dhambi na litasimama siku ya hukumu kutoa ushahidi

Kati Yao nani mkweli?
Chakgua jibu
1. Umar
2. Muhammad
 
2. Muhamm niad
Nimekupa Aya mpaka mwisho huelewi ebu rudia juu ..
 
Muhammad kasemaje wakati umar anasimulia ya Muhammad🤔
Umar kasema jiwe halina manufaa yoyote ni jiwe tu

Muhammad kasema linafyonza dhambi na pia siku ya hukumu litashuhudia

Nani mkweli
1 . Umar
2. Muhammad
 
Umar kasema jiwe halina manufaa yoyote ni jiwe tu

Muhammad kasema linafyonza dhambi na pia siku ya hukumu litashuhudia

Nani mkweli
1 . Umar
2. Muhammad
Wapi muhamad kasema ? Wakati umar ndo anasimulia
"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Mtume anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]

Je ni wapi kapingana na mtume? yeye kabusu kwa vile mtume alibusu japo halina maana yeyote ile..
 
Shida alieongea ni wakili wa Shetani, kumtii yeye ni kumtii Shetani, ila miaka ya hivi karibuni nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu hizi picha, unapoweka picha yako au ya baba yako, picha Ile utaiheshimu Kama baba yako, fikiria umeweka picha ya Yesu kumbe ni picha ya lijitu afu wewe unaliheshimu la Yesu, Hilo lijitu haliwezi kuzuia njia siku unakufa?
 
"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu,

Shida unajitoa ufahana Umar kasema jiwe halinufaishi

Muhammad kataja manufaa ya jiwe ikiwemo kufyonza dhambi na siku ya mwisho kusimama kuongea

Nani mkweli
1. Umar
2. Muhammad
 
Shida unajitoa ufahana Umar kasema jiwe halinufaishi

Muhammad kataja manufaa ya jiwe ikiwemo kufyonza dhambi na siku ya mwisho kusimama kuongea

Nani mkweli
1. Umar
2. Muhammad
Wapi kataja? Sio kufyonza ilisemwa limekuwa Jeusi kwa sababu ya dhambi za watu 😂😂jamaa naquote ila wapi husomi.
 
Je ni wapi kapingana na mtume? yeye kabusu kwa vile mtume alibusu japo halina maana yeyote ile..
Ibada ya jiwe

Sahih al-Bukhari 4376, 4377
Imesimuliwa Abu Raja Al-Utaridi:
Tulikuwa tunaabudu mawe, na tulipopata jiwe bora kuliko ile ya kwanza.
tungetupa la kwanza na kuchukua la pili, lakini ikiwa hatungeweza kupata jiwe basi tungekusanya ardhi (i.e. udongo) na kisha tuleta kondoo na maziwa ambayo tungeweka juu yake, na kuifanya Tawaf kuizunguka
 
😂😂😂unaelewa Wana maana gani? Izo ni dini zilikuwepo tangu hata kabla ya kuja kwa yesu ndo maana hata nabii Ibrahim alivunja masanamu so hawa wao walikuwa wanaoabudu masanamu na mawe ...Kama ule ukuta kule Israel una baadhi ya michoro ya watu wa kale ndo wanaoabudu na kwenda kusujudu .

Please fanya kuqoutr Qur an maana ndo tunafuata.
 
Leta hadithi mbona hueleweki? Iyo ni myth
Uwe makini hii Hadith nimesha weka

......bin Ubaid bin Umair that a man said: "O Abu abdur-Rahman, why do I only see you touching these two corners?" He said: "I heard the Messenger of Allah say: 'Touching them erases sins.' And I head him say: 'whoever circumambulates seven times, it is like freeing a slave.'" Sunan an-Nasa'i 2919
 
😂😂😂unaelewa Wana maana gani? Izo ni dini zilikuwepo tangu hata kabla ya kuja kwa yesu ndo maana hata nabii Ibrahim alivunja masanamu so hawa wao walikuwa wanaoabudu masanamu na mawe ...Kama ule ukuta kule Israel una baadhi ya michoro ya watu wa kale ndo wanaoabudu na kwenda kusujudu .

Please fanya kuqoutr Qur an maana ndo tunafuata.
Wamesema walikuwa wanalizunguka jiwe kwani wewe ukienda macca unafanyaje ukiwa huna nguo za ndani?
 
Kwa sababu unaruka ruka jibu wewe kama wewe
Jiwe lina manufaa hai halina manufaa
Jibu simple
1. Ndio linamanufaa
2. Hapana halina manufaa

Nataka reply ya 1 au 2
Halina manufaaa kwa vile sio lazima ? Leta wapi pameandikwa ni faradhi kwamba dhambi zinasamehewa kwa jiwe.

Qur an pekee ndo inasema kweli kama Kuna Aya ya Qur an leta hapa .
 
Back
Top Bottom