Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Huwezi jua, huenda wakikamilisha huko watahamia serengeti. Hukumbuki mama alisema wanyama hawali madini yaliyoko huko serengeti, yanapaswa kuchimbwa?
So, ni suala la muda tu.
Usijekushangaa nchi nzima tunahamishwa kupisha uwezekaji. Tz nzima inakuwa pori tengefu la dunia! Loh!
 
Kama nia hiyo ingekuwepo tungeona hilo mapema tu.

Iko wazi kwamba wamasai wanaonewa.

Na pia hajatokea mwekezaji anayelihitaji eneo hilo.
 
Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
Una uhakika?ni Sehemu gani ya Hifadhi ya Serenheti kuna binadamu ndani ya hifadhi ya Serengeti? Wacha upotoshaji na kuwadanganya ambao hawajahi fika huko,
Serengeti ni National Park maana yake no Human activities ndani ya hifadhi, na Ngorongoro ni conservation.
 
Hivi unamsikiliza huyo? So unaamini kabisa kwamba ndani ya hifadhi ya Serengeti kuna watu wanaishi?
 
Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
Unatokea mkoa gani?.

Kwa uzembe wa wanaJF wasiotaka kujua wala kufuatilia watakuunga mkono au kutumia andiko lako kuunga mkono issue ya maasai Loliondo.

Ni nchi gani National Pack kukawa na maisha ya binadamu na wanyama mwitu?.

Kwa kukupa somo, Wamasai hao wa Ngorongoro nk asilimia kubwa walitokewa Serengeti kwa mkataba maalum wakapelekwa pale walipo leo na ambapo leo pia wanahamishwa kama ilivyokuwa huko nyuma.

Kijana acha upotoshaji.
 
Poor
 
Robanda ipo ki mkakati before Ngorongoro Conservation area or Loliondo game controlled area
 
Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
Kama mtu ambae nimeish serengeti kwa muda mrefu kidogo. Hakuna kijiji ambacho kiko ndani ya hifadhi.
Only vijiji vilivyokokaribu na mpaka wa hifadhi.
Hakuna mwanakijiji anaingia serenget bila kibali maalumu. otherwise atakamatwa na askari wa uhifadhi kwa kuvunja sheria
 
Wamasai walianza kuingia hadi katikati ya pori wasingekemewa ilikua balaa . Mbaya zaidi wana madawa ya kuzuia mnyama asikusumbue
 
Una uhakika?ni Sehemu gani ya Hifadhi ya Serenheti kuna binadamu ndani ya hifadhi ya Serengeti? Wacha upotoshaji na kuwadanganya ambao hawajahi fika huko,
Serengeti ni National Park maana yake no Human activities ndani ya hifadhi, na Ngorongoro ni conservation.
Robanda na ikoma viko wapi vile vijiji kama sio ndani ya hifadhi mkuu?
 
Kama mtu ambae nimeish serengeti kwa muda mrefu kidogo. Hakuna kijiji ambacho kiko ndani ya hifadhi.
Only vijiji vilivyokokaribu na mpaka wa hifadhi.
Hakuna mwanakijiji anaingia serenget bila kibali maalumu. otherwise atakamatwa na askari wa uhifadhi kwa kuvunja sheria
Nyama za vimoro zinatokea wapi kama hakuna mwanakijiji anaeruhusiwa kuingia hifadhini?
 
Back
Top Bottom