Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi jua, huenda wakikamilisha huko watahamia serengeti. Hukumbuki mama alisema wanyama hawali madini yaliyoko huko serengeti, yanapaswa kuchimbwa?Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kama nia hiyo ingekuwepo tungeona hilo mapema tu.Huwezi jua, huenda wakikamilisha huko watahamia serengeti. Hukumbuki mama alisema wanyama hawali madini yaliyoko huko serengeti, yanapaswa kuchimbwa?
So, ni suala la muda tu.
Usijekushangaa nchi nzima tunahamishwa kupisha uwezekaji. Tz nzima inakuwa pori tengefu la dunia! Loh!
Kila jambo na muda wake..Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
Una uhakika?ni Sehemu gani ya Hifadhi ya Serenheti kuna binadamu ndani ya hifadhi ya Serengeti? Wacha upotoshaji na kuwadanganya ambao hawajahi fika huko,Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
Hivi unamsikiliza huyo? So unaamini kabisa kwamba ndani ya hifadhi ya Serengeti kuna watu wanaishi?Kama nia hiyo ingekuwepo tungeona hilo mapema tu.
Iko wazi kwamba wamasai wanaonewa.
Na pia hajatokea mwekezaji anayelihitaji eneo hilo.
Unatokea mkoa gani?.Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
PoorUnatokea mkoa gani?.
Kwa uzembe wa wanaJF wasiotaka kujua wala kufuatilia watakuunga mkono au kutumia andiko lako kuunga mkono issue ya maasai Loliondo.
Ni nchi gani National Pack kukawa na maisha ya binadamu na wanyama mwitu?.
Kwa kukupa somo, Wamasai hao wa Ngorongoro nk asilimia kubwa walitokewa Serengeti kwa mkataba maalum wakapelekwa pale walipo leo na ambapo leo pia wanahamishwa kama ilivyokuwa huko nyuma.
Kijana acha upotoshaji.
Pia nasikia Tarime ni eneo pekee Tanzania bangi na gongo vinatumika hadharani
Kama mtu ambae nimeish serengeti kwa muda mrefu kidogo. Hakuna kijiji ambacho kiko ndani ya hifadhi.Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
Hivyo vijiji vitakuwa havijawavutia wawekezaji.Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Robanda na ikoma viko wapi vile vijiji kama sio ndani ya hifadhi mkuu?Una uhakika?ni Sehemu gani ya Hifadhi ya Serenheti kuna binadamu ndani ya hifadhi ya Serengeti? Wacha upotoshaji na kuwadanganya ambao hawajahi fika huko,
Serengeti ni National Park maana yake no Human activities ndani ya hifadhi, na Ngorongoro ni conservation.
Nyama za vimoro zinatokea wapi kama hakuna mwanakijiji anaeruhusiwa kuingia hifadhini?Kama mtu ambae nimeish serengeti kwa muda mrefu kidogo. Hakuna kijiji ambacho kiko ndani ya hifadhi.
Only vijiji vilivyokokaribu na mpaka wa hifadhi.
Hakuna mwanakijiji anaingia serenget bila kibali maalumu. otherwise atakamatwa na askari wa uhifadhi kwa kuvunja sheria