Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyama zinatokea hifadhi mostly sababu ya uwindaji haramu, japokuwa ule uwindaji ulio ruhusiwa upo lakin kwa kufuata utaratibu. Na unafanyika kwenye vitalu maalumu.Nyama za vimoro zinatokea wapi kama hakuna mwanakijiji anaeruhusiwa kuingia hifadhini?
Msamehe hajui tofauti ya national park na conservation areasMimi kinacho nishangaza ni wanaume ndo wanaandika umbea umbea na uongo humu,lini kwenye national park kukawa na makazi ya watu? Huo upotoshaji unafanya kwa lengo gani?
Ile Robanda ni full kijiji, imezungukwa na hifadhi yes lakini wale ni kijiji na hawabanwi na chichochoteRobanda ipo ki mkakati before Ngorongoro Conservation area or Loliondo game controlled area
Inaonekana una uelewa mdogo sana, Kule kuna Iwindaji haramu unao fanywa, kwanza now day umepungua sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma,Nyama za vimoro zinatokea wapi kama hakuna mwanakijiji anaeruhusiwa kuingia hifadhini?
Kile kijiji sio cha Wakura ni Kabila moja linaitwa Waikoma, Mkoa wa Mara pekee una makabila zaidi ya 20Wakurya get ready tulianzia Masai land kupima upepo
Mimi kinacho nishangaza ni wanaume ndo wanaandika umbea umbea na uongo humu,lini kwenye national park kukawa na makazi ya watu? Huo upotoshaji unafanya kwa lengo gani?
Mkuu stroke wee napiga poyoyo tu humu jamfini. Nilishakuomba pasa sauti serikali itandase lami toka Sanya juu hadi longido home kwenu. Wee nabaki piga porojo jamfin tuu.Kama nia hiyo ingekuwepo tungeona hilo mapema tu.
Iko wazi kwamba wamasai wanaonewa.
Na pia hajatokea mwekezaji anayelihitaji eneo hilo.
Unaongelea ikoma ipi?Robanda na ikoma viko wapi vile vijiji kama sio ndani ya hifadhi mkuu?
Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
Reply has received🔻Poor
Na solonera je?Robanda na ikoma viko wapi vile vijiji kama sio ndani ya hifadhi mkuu?
Endelea kusikia kenge wewePia nasikia Tarime ni eneo pekee Tanzania bangi na gongo vinatumika hadharani
Kwa hali ya nchi yetu ilivyo, siwezi kushangaa haya unayoyasema hapa yakitokea.Huwezi jua, huenda wakikamilisha huko watahamia serengeti. Hukumbuki mama alisema wanyama hawali madini yaliyoko huko serengeti, yanapaswa kuchimbwa?
So, ni suala la muda tu.
Usijekushangaa nchi nzima tunahamishwa kupisha uwezekaji. Tz nzima inakuwa pori tengefu la dunia! Loh!
Wanyama pia wanaweza kuhamishwa.Wazo jepesi jepesi, binaadamu anaweza akahamishwa na kupelekwa mjini na akapata huduma zote kama matibabu na shule kwa ajili ya watoto, je? Wanyama wanaweza kuhamishwa wakapelekwa mjini? Maana ukiangalia wanyama wana makazi yao ya asili, na huwezi kuwahamisha kwa mfano mamba au kiboko unaweza kumpeleka akaishi mjini ni kitu ambacho hakiwezekani, ila binaadamu mnaweza mkakaa na kuelimishana na mtu akaelewa. Tukumbe hifadhi ni mali ya vizazi vilivyopo na vizazi vijavyo tuvitunze
Elewa msingi wa mgogoro kwanza ndio ungeuliza swali scenario zake ni mbili tofautiEneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?