Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

Mimi kinacho nishangaza ni wanaume ndo wanaandika umbea umbea na uongo humu,lini kwenye national park kukawa na makazi ya watu? Huo upotoshaji unafanya kwa lengo gani?
 
Nyama za vimoro zinatokea wapi kama hakuna mwanakijiji anaeruhusiwa kuingia hifadhini?
Nyama zinatokea hifadhi mostly sababu ya uwindaji haramu, japokuwa ule uwindaji ulio ruhusiwa upo lakin kwa kufuata utaratibu. Na unafanyika kwenye vitalu maalumu.
Uwindaji si lazima uwe ndani ya hifadhi.

Hakuna kijiji ndani ya hifadhi.
 
Mimi kinacho nishangaza ni wanaume ndo wanaandika umbea umbea na uongo humu,lini kwenye national park kukawa na makazi ya watu? Huo upotoshaji unafanya kwa lengo gani?
Msamehe hajui tofauti ya national park na conservation areas
 
Nyama za vimoro zinatokea wapi kama hakuna mwanakijiji anaeruhusiwa kuingia hifadhini?
Inaonekana una uelewa mdogo sana, Kule kuna Iwindaji haramu unao fanywa, kwanza now day umepungua sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma,
 
Jamani tunaomba wale wanaojua vizuri mtupe ukweli msitupoyishe sisi ambao hatujui kabisa. Chacha Farming utuelezee ndugu. Maana isije hayawi hayawi huqa
 
Mimi kinacho nishangaza ni wanaume ndo wanaandika umbea umbea na uongo humu,lini kwenye national park kukawa na makazi ya watu? Huo upotoshaji unafanya kwa lengo gani?

Haswa
IMG_7150.jpg

IMG_7148.jpg
 
Kama nia hiyo ingekuwepo tungeona hilo mapema tu.

Iko wazi kwamba wamasai wanaonewa.

Na pia hajatokea mwekezaji anayelihitaji eneo hilo.
Mkuu stroke wee napiga poyoyo tu humu jamfini. Nilishakuomba pasa sauti serikali itandase lami toka Sanya juu hadi longido home kwenu. Wee nabaki piga porojo jamfin tuu.
 
Robanda na ikoma viko wapi vile vijiji kama sio ndani ya hifadhi mkuu?
Unaongelea ikoma ipi?
Maana name ikoma, kuna ikoma kijini ambacho kiko karibu na mpaka wa hifadhi.

Halaf kuna fort ikoma ambapo pako karibu na ikoma airstrip kiwanja kinachotumika na ndege za watalii kutua na ikoma gate ambapo ndio geti la kuingilia watalii?

Robanda ipi unaongelea? Serengeti kuna robanda tented camps, robanda kijiji ambacho kipo nje ya hifadhi ya serengeti. Karibu na game reserve ya ikorongo?
 
Wazo jepesi jepesi, binaadamu anaweza akahamishwa na kupelekwa mjini na akapata huduma zote kama matibabu na shule kwa ajili ya watoto, je? Wanyama wanaweza kuhamishwa wakapelekwa mjini? Maana ukiangalia wanyama wana makazi yao ya asili, na huwezi kuwahamisha kwa mfano mamba au kiboko unaweza kumpeleka akaishi mjini ni kitu ambacho hakiwezekani, ila binaadamu mnaweza mkakaa na kuelimishana na mtu akaelewa. Tukumbe hifadhi ni mali ya vizazi vilivyopo na vizazi vijavyo tuvitunze
 
Huwezi jua, huenda wakikamilisha huko watahamia serengeti. Hukumbuki mama alisema wanyama hawali madini yaliyoko huko serengeti, yanapaswa kuchimbwa?
So, ni suala la muda tu.
Usijekushangaa nchi nzima tunahamishwa kupisha uwezekaji. Tz nzima inakuwa pori tengefu la dunia! Loh!
Kwa hali ya nchi yetu ilivyo, siwezi kushangaa haya unayoyasema hapa yakitokea.
 
Wazo jepesi jepesi, binaadamu anaweza akahamishwa na kupelekwa mjini na akapata huduma zote kama matibabu na shule kwa ajili ya watoto, je? Wanyama wanaweza kuhamishwa wakapelekwa mjini? Maana ukiangalia wanyama wana makazi yao ya asili, na huwezi kuwahamisha kwa mfano mamba au kiboko unaweza kumpeleka akaishi mjini ni kitu ambacho hakiwezekani, ila binaadamu mnaweza mkakaa na kuelimishana na mtu akaelewa. Tukumbe hifadhi ni mali ya vizazi vilivyopo na vizazi vijavyo tuvitunze
Wanyama pia wanaweza kuhamishwa.
Mfano wanyama kibao walihamishiwa bugiri huko chato.
 
Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa.
Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
Elewa msingi wa mgogoro kwanza ndio ungeuliza swali scenario zake ni mbili tofauti
 
Back
Top Bottom