Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

Umaskini unaupimaje kwa mf shida mnataka luxury za haraka jipe muda afu zunguka mikoa yote ndo uje ufanye assumptions et walim ni maskini labda ww sio sisi
 
TUKISEMA KATIBA MPYA,KWA FIKRA MBOVU MNAFIKRI NI JUU YA MBOWE NA CHADEMA!
KUMBE NI MGAWANYO SAWA. FURSA SAWA KWENYE RASLIMALI ZA UMMA.
MTUMISHI MMOJA WA UMMA ANALIPWA FEDHA ZA WATUMISHI WENGINE 150!
KIPATO CHAKE KWA MWAKA MZIMA, KWA WENGINE NI MAPATO YA MIAKA 9.

LAANA ZA CHAMA CHENU CHA KIJANA, ZA ZIWATAFUNE MPAKA KIAMA.
 
Kila mtu anahisi mwenzie ndiye sababu. [emoji16][emoji16] Watu mshachanganyikiwa
 
naomba nisitishe mjadala huu na wewe, nisije nikakufuru. ila ukweli unaujua. thanks and bye.
Usikimbie! Rudi hapa ujibu hoja. Hata kama utawacheka hao walimu, bado wataishia tu kukudharau. Maana huwasaidii chochote.
 
I hate hii egotism ya kusema Mwalimu alikufundisha kusoma na kuandika, you idiot!! Mwalimu wako wa sekondari alikufunza kusoma na kuandika?

Watu mna chuki zimewakaba mpaka mnashindwa appreciate watu, yani mwalimu kakufundisha kusoma na kuandika tuu? Mbuzi nyie [emoji23][emoji23]
 
Mbuzi wewe na ukoo wenu[emoji2]
 
ila hiyo haiondoi ukweli kwamba ualimu kwa africa ni kada ya watu waliofeli. ukifeli form four, unaenda chuo cha ualimu. ukifeli form six unaenda chuo cha ualimu. ile cream nzuri ndio inaendela mbele. kwani uongo? sasa mfano mtu amefeli kwenda kidato cha juu, na unampa afundishe english, ambayo hata yeye haijui? no wonder tumejifunza kiingereza tulipofika chuo kikuu.
Hahaha wewe jamaa ni comedian sana, au labda utoto au roho mbaya inakusumbua.

Hivi kweli mtu afeli ndio aende kozi ya ualimu. Au huko kufeli ni kwa mujibu wa grade zako mwenywe na sio zile za NECTA, NACTE na TCU. Umeamua kusema uongo au unasema uongo bila kujua kuwa unasema uongo?

Au huko kufeli wewe unamaanisha nini mkuu?
Jaribu kufikiri vyema mkuu juu ya hoja zako, punguza mihemko.
 
Kuna vipato vidogo na kuna maskin ebu jua kutofautisha izo lugha

Maskini ni wale wa Tasafu wale wa mfuko wa kusaidia kaya maskini na kwa ninavyo jua
Akuna familia ya mwalimu yyte iko ktk uwo mfuko
 
Ukimsikia mwalimu analalamika kuwa ni masikini jua kuwa anang'ang'ania kufanya kazi mjini...kipato cha laki 4 na nusu kila mwezi kwa maisha ya kijijini ni nyingi mno halafu no rahisi kupata promotion ya vyeo ukiwa kijijini kuliko mjini...unakuta shule mpo walimu watatu tu sasa kwann usipate nafasi ya hizo seminar na safari? Shughuli za maendeleo vijijini zipo nyingi mno utakuta mwalimu analima ila vibarua ni wanafunzi..kuna siku maalumu wanafunzi wanaenda kupalilia shamba la shule au la mwalimu..mazao ya shamba la shule wanagawana walimu .

Kijijini mwalimu anaheshimika tofauti na mjini ambapo mpo wengi..vijijini unapewa nyumba bure na kijiji, shamba la kulima..unaweza hata kufuga mifugo na maisha yakaenda safi ila mnang'ang'ania mpangiwe vituo vya mjini
 
Kuna mwalimu yupo Rukwa ziwani huko ana fuso 4, harrier tako la nyani, ana hiace 3 na lodge 2 pale mbeya mjini. ni mwalimu mwenye diploma.
Anafuga nguruwe kama 100 kuku wa kienyeji zaidi ya 3000 ana mashamba ya mpunga na mitumbwi kibao
Ishu ni kuwa wengi wanang'ang'aniwa wapangiwe vituo kwenye majiji..kuna rafiki yangu alipangiwa uwalimu huko mkoani ananambia kuwa yeye alikuwa hagusi mshahara wake...posho peke yake anazozipata per diem, seminar n.k vinamtosha kuishi mwezi mzima na pesa inabaki na bado gharama za maisha kwa vijijini zipo chini ,mboga unachuma tu kwa jirani unapika maisha yanasonga, kijijini ukiishiwa na unga ukienda kwa jirani anakwambia chota tu hapo kwenye gunia hata kilo 5....ila mjini hata chumvi ukiomba kwa jirani unaambiwa imeisha au hakuna, gharama za nauli kwa maisha ya kwenye majiji kama dar es salaam ni nyingi, kodi za nyumba ni kubwa vijijini watumishi wa serikali wanapatiwa nyumba za kukaa bure...nilikutana na walimu wa shule ya msingi mkalama huko singida ndani ndani walinambia kuwa maisha kwao easy..wana mashamba makubwa ya shule wanalima ,wana mashamba yao binafsi , wanashughuli nyingi za kimaendeleo kama ufugaji na biashara pia hawalipi kodi za nyumba maana wanapewa makazi bure na kijiji. Na mjini hawapataki hata kupasikia wamelowea huko ili hali si makwao. Sasa nyinyi ng'ang'anieni kuishi mjini mgojee pesa za kustaafu.
 
Sector gani ambazo wenyewe wanamaisha mazuri (sio ya kimaskini) tofauti na walimu?
As long as wewe ni mwajiriwa wa serikali na uko kule tamisemi hali zenu za kimaisha hazifautiani.

Muhimu kujiongeza tu
 
ila hiyo haiondoi ukweli kwamba ualimu kwa africa ni kada ya watu waliofeli. ukifeli form four, unaenda chuo cha ualimu. ukifeli form six unaenda chuo cha ualimu. ile cream nzuri ndio inaendela mbele. kwani uongo? sasa mfano mtu amefeli kwenda kidato cha juu, na unampa afundishe english, ambayo hata yeye haijui? no wonder tumejifunza kiingereza tulipofika chuo kikuu.
Haswaaa!, Na wanajikuta katika mazingira mamoja ya watu waliofeli na wasio na kuona vitu vizuri mwisho wote wanafanana kuanzia mavazi, kuishi mazingira ya kizamani zama za kale za kuwasha moto kwa shida ndo inakuwa fahari yao, mwisho Wana rudisha na maendeleo ya wanafunzi nyuma kwa wivu wao lakini mtu mwingine akipewa huo mshahara wa mwalimu na muda anaobaki nao unaona anaendelea vizuri sana hata maisha ya kale ya shida shida anayaweka pembeni.
 
[emoji16] yani hizi chuki dhidi ya walimu mnatolea wapi?
 
Back
Top Bottom