Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

Mimi sio mwalimu ila nadhani zifuatazo zinaweza kua ni sababu kwa kiasi kikubwa;-
  1. Mishahara midogo. Kada ya ualimu ni miongoni mwa kada zenye mshahara midogo ukilinganisha na kada nyingine. Nakumbuka mwalimu mwenye shahada gross salary yake ni 730,000 sasa hii ikikatwa inabaki almost 400,000k. Gharama za maisha yani nyumba, nauli, usafiri, ada za watoto, umeme, chakula, n.k inakua ni shida.
  2. Kukosekana kwa posho. Katika maofisi mengi kumekuwepo na posho mbali mbali na watumishi wengi wananufaika sana na hizi posho. Mojawapo kubwa kabisa ni posho ya kazi za ziada. Yani ukifanya kazi kuzidi masaa yanayokubaliwa kiutumishi unakua subject to compensation. Ila sasa huko kwa walimu hakuna posho ya over time, hakuna house allowance, hakuna transport allowance etc. Kukosekana kwa hizi posho kunafanya walimu waishi mshahara to mshahara. Na kwakua mshahara ni mdogo, wanajikuta katika ukata
  3. Kukosekana kwa safari. Kwenye maofisi mengi kuna vijisafari safari vya hapa na pale vya training, workshops, seminars, technical commitees na kadhalika. Safari katika kada ya ualimu ni chache sana na unakuta wanachaguana mkuu wa shule au makamu wake au academic officers. Ndani ya miaka mitatu possibility ya mwalimu kusafiri na kulipwa per diem ni ndogo sana na safari yenyewe utakuta ni ya muda mfupi haizidi wiki.
  4. Kukosekana mianya ya kupiga dili. Walimu wateja wao ni wanafunzi. Hakuna dili yoyote hapo. Kwanza elimu ya siku hizi ni bure. Hakuna motisha wala hakuna mzazi atakupa laki mbili kama zawadi kwa kumfundisha mwanae vizuri. Kuna watu huko bandarini wana mijengo Mbweni kwa hizi dili ndogo ndogo za hapa na pale.
  5. Kutochangamka. Walimu wengi hua hawako sharp kwenye harakati nyingine za kimaisha ukiachana na kazi. Wengi wanakua busy kukimbizana na wanafunzi unakuta mtu yuko job had saa kumi na moja jioni anawapa wanafunzi wachelewaji adhabu wakati huo hana hata genge la kuuza nyanya pale home au wanafunzi watano wa kupiga pindi after work.

Nimechokoza mada
Case closed [emoji359][emoji359][emoji359]
 
mzee, majority ni wahuni tu. sisi wengine tumesoma kwa effort zetu waalimu wamefanya kazii ndogo sana. nakumbuka kipindi fulani nipo form six, ticha mmoja wa history sijui nini, akawa anafundisha anananiki desa la nyirenda ambalo mimi nimeshalitafuna lote, shule moja huko KIlimanjaro. mimi nikawa siandiki wala nini. akaja kwa fujo ati ananivamia kwanini siandiki? nikamwambia mimi notes hizo zote ninazo na nimeshazisoma...alinichukia hadi namaliza. uzuri ni kwamba nilifaulu vizuri sana. kama wewe ni mwalimu, majoirty mpo hivyo.
Wewe kusoma na kuandika ulijifunza mwenyewe[emoji2]
 
Mimi sio mwalimu ila nadhani zifuatazo zinaweza kua ni sababu kwa kiasi kikubwa;-
  1. Mishahara midogo. Kada ya ualimu ni miongoni mwa kada zenye mshahara midogo ukilinganisha na kada nyingine. Nakumbuka mwalimu mwenye shahada gross salary yake ni 730,000 sasa hii ikikatwa inabaki almost 400,000k. Gharama za maisha yani nyumba, nauli, usafiri, ada za watoto, umeme, chakula, n.k inakua ni shida.
Walimu hawana mishahara midogo. Walimu ni Watumishi wa umma ambao wanazidiwa mishahara na kada za Afya, Engineering na Mawakili pekee.j
  1. Kukosekana kwa posho. Katika maofisi mengi kumekuwepo na posho mbali mbali na watumishi wengi wananufaika sana na hizi posho. Mojawapo kubwa kabisa ni posho ya kazi za ziada. Yani ukifanya kazi kuzidi masaa yanayokubaliwa kiutumishi unakua subject to compensation. Ila sasa huko kwa walimu hakuna posho ya over time, hakuna house allowance, hakuna transport allowance etc. Kukosekana kwa hizi posho kunafanya walimu waishi mshahara to mshahara. Na kwakua mshahara ni mdogo, wanajikuta katika
Watumishi wengi viposho wanavyopata Ni Tsh 30,000 na hupati Kila siku.

Walimu wanna muda mwingi sana lakini wanashindwa kuutumia
  1. Kukosekana kwa safari. Kwenye maofisi mengi kuna vijisafari safari vya hapa na pale vya training, workshops, seminars, technical commitees na kadhalika. Safari katika kada ya ualimu ni chache sana na unakuta wanachaguana mkuu wa shule au makamu wake au academic officers. Ndani ya miaka mitatu possibility ya mwalimu kusafiri na kulipwa per diem ni ndogo sana na safari yenyewe utakuta ni ya muda mfupi haizidi wiki.
Safari labda unaongelea wakuu wa idara. Kada gani wanna Safari?
  1. Kukosekana mianya ya kupiga dili. Walimu wateja wao ni wanafunzi. Hakuna dili yoyote hapo. Kwanza elimu ya siku hizi ni bure. Hakuna motisha wala hakuna mzazi atakupa laki mbili kama zawadi kwa kumfundisha mwanae vizuri. Kuna watu huko bandarini wana mijengo Mbweni kwa hizi dili ndogo ndogo za hapa na pale.
Hili Ni kwa Watumishi wengi wa umma
  1. Kutochangamka. Walimu wengi hua hawako sharp kwenye harakati nyingine za kimaisha ukiachana na kazi. Wengi wanakua busy kukimbizana na wanafunzi unakuta mtu yuko job had saa kumi na moja jioni anawapa wanafunzi wachelewaji adhabu wakati huo hana hata genge la kuuza nyanya pale home au wanafunzi watano wa kupiga pindi after work.

Nimechokoza mada
Hili nakubali
 
Hapana hauko sahihi..
Mwalimu mwenye Degree akianza Kazi leo analipwa TGTS D1 = 710,000/= CCM wakikata anabaki na 545,000/=

Mwenye Diploma ni 450,000 (TGTS E1)
CCM wakikata anabaki na 415,000/=

#YNWA
Kwenye hiyo 545,000 toa deni la hslb laki moja.
 
Asome degree nyingine, hata Open university kwa mfano uchumi then hamia omba uhanie idara ya mipango kama mchumi.

Serikali zinawadharau sana walimu wetu Nakumbuka Kuna Rais mmoja hapa Tanzania aliondoa kitu inaitwa allowance. Shame!

Ikiwa kama kukikuwa na maslahi yyt kwa nchi au mtu binafsi basi ilikuwa ni laana kwa mtu huyo. Wanafanya kaz iliyotukuka kwa taabu sana
Wengi waliosoma fani nyingine wamehamishwa/wamehama. Ni suala la kuchukua maamuzi bila kuchelewa.
 
Hapana hauko sahihi..
Mwalimu mwenye Degree akianza Kazi leo analipwa TGTS D1 = 710,000/= CCM wakikata anabaki na 545,000/=

Mwenye Diploma ni 450,000 (TGTS E1)
CCM wakikata anabaki na 415,000/=

#YNWA
Hauko sahihi.

Mwalimu mwenye shahada analipwa 716,000 take home bila bodi Ni 596,000.

Mwalimu mwenye shahada kwa Science anaanza na 750,000.

Diploma Ni Tsh 545,000 kwa Science na 535,000 kwa arts.

Grade A Ni 419,000.
 
kwa africa shida ni kwamba, ili uwe mwalimu unatakiwa uwe umefeli. tofauti na nchi zingine. mtu aliyefeli anamfundisha mtu afaulu, mwisho wa siku watoto/wanafunzi huwa wanakuja kujiadjust wenyewe tu kwenye maisha. labda wale tu wanaofundisha kusoma na kuandika ambao pia corporal punishment imefanya wawe wakatili balaa na wale watoto wanaowafundisha wanawachukia maisha yote hivyo hata wanafunzi wao wakija kufanikiwa hawawezi kuwapa michongo.
Sijawahi kuona mtua aliyefeli amekuwa Mwalimu, hizi sasa chuki
 
Umeshamjibu, sidhani kama kuna haja ya maelezo mengine.

Namkumbusha tu kuwa, si kila mwalimu ni masikini, ila kwakuwa kada ina watumishi wengi ndio mana wanaonekana hivyo.

So, asifanyie wito, fanya kama profession, utajiri huanza kuwa na shughuli zaidi ya moja
Walimu shule nyingi zipo vijijini sana ndan ndani huko ambako ndiko kuna dumaza walimu kiuchum kutokana na kutokuwa na fursa za kiuchumi lakini pia kuzungukwa na wanavijiji wasio na elimu
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
Shida ipo hapa. Mkitajirika ninyi mtatajirisha koo zenu hivyo CCM kuwa kwenye hatari ya kung'oka madarakani. Ukitaka umtawale mtu,mfanye awe 'zuzu' na 'fukara'. Kwisha!.
 
Mimi sio mwalimu ila nadhani zifuatazo zinaweza kua ni sababu kwa kiasi kikubwa;-
  1. Mishahara midogo. Kada ya ualimu ni miongoni mwa kada zenye mshahara midogo ukilinganisha na kada nyingine. Nakumbuka mwalimu mwenye shahada gross salary yake ni 730,000 sasa hii ikikatwa inabaki almost 400,000k. Gharama za maisha yani nyumba, nauli, usafiri, ada za watoto, umeme, chakula, n.k inakua ni shida.
  2. Kukosekana kwa posho. Katika maofisi mengi kumekuwepo na posho mbali mbali na watumishi wengi wananufaika sana na hizi posho. Mojawapo kubwa kabisa ni posho ya kazi za ziada. Yani ukifanya kazi kuzidi masaa yanayokubaliwa kiutumishi unakua subject to compensation. Ila sasa huko kwa walimu hakuna posho ya over time, hakuna house allowance, hakuna transport allowance etc. Kukosekana kwa hizi posho kunafanya walimu waishi mshahara to mshahara. Na kwakua mshahara ni mdogo, wanajikuta katika ukata
  3. Kukosekana kwa safari. Kwenye maofisi mengi kuna vijisafari safari vya hapa na pale vya training, workshops, seminars, technical commitees na kadhalika. Safari katika kada ya ualimu ni chache sana na unakuta wanachaguana mkuu wa shule au makamu wake au academic officers. Ndani ya miaka mitatu possibility ya mwalimu kusafiri na kulipwa per diem ni ndogo sana na safari yenyewe utakuta ni ya muda mfupi haizidi wiki.
  4. Kukosekana mianya ya kupiga dili. Walimu wateja wao ni wanafunzi. Hakuna dili yoyote hapo. Kwanza elimu ya siku hizi ni bure. Hakuna motisha wala hakuna mzazi atakupa laki mbili kama zawadi kwa kumfundisha mwanae vizuri. Kuna watu huko bandarini wana mijengo Mbweni kwa hizi dili ndogo ndogo za hapa na pale.
  5. Kutochangamka. Walimu wengi hua hawako sharp kwenye harakati nyingine za kimaisha ukiachana na kazi. Wengi wanakua busy kukimbizana na wanafunzi unakuta mtu yuko job had saa kumi na moja jioni anawapa wanafunzi wachelewaji adhabu wakati huo hana hata genge la kuuza nyanya pale home au wanafunzi watano wa kupiga pindi after work.

Nimechokoza mada
Umetiririka vema sana mchokoza mada!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom