Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

Kwasababu hakuna muajiriwa tajiri ila waajiriwa wote ni maskini wenye hafadhali
Ajira ni sehem ya kutafutia mtaji wa kuanzisha biashara zako zingine na siyo kitu cha kukitegemea kwa asilimia [emoji817]

Chaguo ni lako mshahara ukitoka uendee bar ukaimbe beer tamu au ujichange kuanzisha mradi wako
 
Mtu anamtukana matusi mazito mwalimu na kumuita mbumbumbu ,kilaza,na mengine kedekede but still anampeleka mwanae akatolewa ujinga kichwa na huyo huyo mwalimu

Swali langu

Kati ya mzazi na mwalimu nani kilaza,mbumbumbu,kiazi!?

NB ;Wazazi ni madocta,wahasibu,wafanyabiashara,wadangaji etc
 
Kwasababu hakuna muajiriwa tajiri ila waajiriwa wote ni maskini wenye hafadhali
Ajira ni sehem ya kutafutia mtaji wa kuanzisha biashara zako zingine na siyo kitu cha kukitegemea kwa asilimia [emoji817]

Chaguo ni lako mshahara ukitoka uendee bar ukaimbe beer tamu au ujichange kuanzisha mradi wako
Ukitoa zile ivy league za mishahara minono bongo kama TRA na wenzake wengne wote hawana cha kumcheka mwalimu[emoji2]

Niambie afisa msitu au afisa mipango wa halmshauri ana tofauti gani mwalimu!?

Wafanyakazi wa halmshauri wote hali zao kiuchumi wanafanana tu
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
Ukiwa na akili finyu, hata uwe Ofisa Maliasili! Bado utakuwa maskini tu.
Unatakiwa ubadili mtazamo na mwenendo wako wa maisha. Wenzako wanapiga hatua kimaendeleo, wewe unalia lia!

Jiongeze kwa kufanya shughuli nyingine za kukuingizia kipato nje ya mshahara. Mfano biashara, kilimo, ufugaji, nk. Acha kuishi kwa mazoea na kwa kutegemea mshahara. Ni hatari sana.
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
1.Matumizi yenu yazizidi Mapato
2.Kuigaiga mambo mabalimbali ya matumizi ya pesa bila kufikiri
3.Kamaryyy
4. Ulimbukeni
5. Tamaa ya mikopo
N.k n.k n.k
Bila kusahau chini
 
Umeshamjibu, sidhani kama kuna haja ya maelezo mengine.

Namkumbusha tu kuwa, si kila mwalimu ni masikini, ila kwakuwa kada ina watumishi wengi ndio mana wanaonekana hivyo.

So, asifanyie wito, fanya kama profession, utajiri huanza kuwa na shughuli zaidi ya moja
Kuna mwalimu yupo Rukwa ziwani huko ana fuso 4, harrier tako la nyani, ana hiace 3 na lodge 2 pale mbeya mjini. ni mwalimu mwenye diploma.
Anafuga nguruwe kama 100 kuku wa kienyeji zaidi ya 3000 ana mashamba ya mpunga na mitumbwi kibao
 
Tatizo hakuna.
Mishahara duni ndio source ya umaskini kwa watumishi wa umma Tanzania.
Taasisi zingine mishahara duni ila kuna posho karibu aina 3, na wizi wa kutosha.
Walimu mkaibe chaki na muuze maandazi kwa wanafunzi mtatoboa.
Nyie endeleeni kuwa waaminifu muhakikishe CCM inaendelea kukaa madarakani.
Walimu wengi wapumbavu
Sio mshahara duni, mbona tusaminiwe wanalipwa laki hadi laki na hamsin na wapo njema na wanafurahia maisha vema tu!
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
Unakopesheka na benk vizuri tu. Shida mkikopa mnaenda kununua sofa, tv na king'amuzi baada ya hapo mnaanza kukatwa mishahara maisha yanazidi kua duni zaidi.
Kopa benk milion 5 fungua hata mradi wa kufuga kuku kibiashara baada ya mwaka tu unaanza kupata kipato angalau kidogo kinakuboost maisha kuliko kutegemea chanzo kimoja tu cha mapato ambacho ni mshahara
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
Achana na maswal ya kipumbavu hama hiyo kitengo katafute maisha kwingine! We unaona kabisa mshahara wa mwalim hauzid mil moja hlf unauliza kwanini ni maskini kwel?
 
Tatizo kada zenye maslahi mazuri ni chache, kwa iyo unakuta watu wengi wanakimbilia ualimu na ukizingatia msomi kukaa bila kazi unanyanyasika sana bora hata ambae hajasoma awe jobless, hatasimangwa sana
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
ni kwasababu ya roho mbaya mzee. majority ya maticha wana roho mbaya na ya kwanini, wanatesa sana watoto huko mashuleni. ila wale ambao ni humane huwa wanatoboa, Mungu huwa anawabariki. kuna watu wengi tu leo hii akikutana na ticha mtaani, hata lift hataki kumpa kutokana na yale aliyomtendea shuleni ambayo akifikiria sasaivi akiwa mtu mzima anaona kabisa ticha hapa alikuwa anazingua. we uliza hapa sasaivi wangapi wanawapenda walimu waliowafundisha, wale watakaosema Yes wanaongea kujikosha tu,ila majority hata akisikia mtoto wa ticha amekuja kuomba kazi kwake hapati.
 
Ni kweli kabsa walimu wengi huwa mbumbu sijui kwanini, utakuta anakimbizana ni kipindi huku mfukoni hakuna kitu.
kwa africa shida ni kwamba, ili uwe mwalimu unatakiwa uwe umefeli. tofauti na nchi zingine. mtu aliyefeli anamfundisha mtu afaulu, mwisho wa siku watoto/wanafunzi huwa wanakuja kujiadjust wenyewe tu kwenye maisha. labda wale tu wanaofundisha kusoma na kuandika ambao pia corporal punishment imefanya wawe wakatili balaa na wale watoto wanaowafundisha wanawachukia maisha yote hivyo hata wanafunzi wao wakija kufanikiwa hawawezi kuwapa michongo.
 
ni kwasababu ya roho mbaya mzee. majority ya maticha wana roho mbaya na ya kwanini, wanatesa sana watoto huko mashuleni. ila wale ambao ni humane huwa wanatoboa, Mungu huwa anawabariki. kuna watu wengi tu leo hii akikutana na ticha mtaani, hata lift hataki kumpa kutokana na yale aliyomtendea shuleni ambayo akifikiria sasaivi akiwa mtu mzima anaona kabisa ticha hapa alikuwa anazingua. we uliza hapa sasaivi wangapi wanawapenda walimu waliowafundisha, wale watakaosema Yes wanaongea kujikosha tu,ila majority hata akisikia mtoto wa ticha amekuja kuomba kazi kwake hapati.
The more i attained maturity nimegundua walimu wangu waifanya za nzuri sana kunifundisha na kunifanya niwe hivi nilivyo

Wasingekuwa walimu wangu ningekuwa kiazi,fala,jinga,pumbavu,closes minded every shit u name it

Bakora zimenisaidia kuwa na discipline iliyonyooka kwenye mambo yangu kadha wa kadha.

Maneno yao ya shombo yamenitrain psychological na kuwa very strong na kuwaza na kutenda logically.

I don't hate teachers . I appreciate their efforts on my success.

I turned every bad word and situation in positive way ndio maana hata shule zangu nilizosoma nazimiss sana

Kuna maticha wanoko halafu kuna maticha very very peace and humble down to Earth

Wewe utakuwa na vurugu za maono during your years at school [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kwa africa shida ni kwamba, ili uwe mwalimu unatakiwa uwe umefeli. tofauti na nchi zingine. mtu aliyefeli anamfundisha mtu afaulu, mwisho wa siku watoto/wanafunzi huwa wanakuja kujiadjust wenyewe tu kwenye maisha. labda wale tu wanaofundisha kusoma na kuandika ambao pia corporal punishment imefanya wawe wakatili balaa na wale watoto wanaowafundisha wanawachukia maisha yote hivyo hata wanafunzi wao wakija kufanikiwa hawawezi kuwapa michongo.
Still unampeleka mwanao akafundishwe na aliefeli

Kati yako wewe na mwalimu nani amefeli pakubwa!?
 
The more i attained maturity nimegundua walimu wangu waifanya za nzuri sana kunifundisha na kunifanya niwe hivi nilivyo

Wasingekuwa walimu wangu ningekuwa kiazi,fala,jinga,pumbavu,closes minded every shit u name it

Bakora zimenisaidia kuwa na discipline iliyonyooka kwenye mambo yangu kadha wa kadha.

Maneno yao ya shombo yamenitrain psychological na kuwa very strong na kuwaza na kutenda logically.

I don't hate teachers . I appreciate their efforts on my success.

I turned every bad word and situation in positive way ndio maana hata shule zangu nilizosoma nazimiss sana

Kuna maticha wanoko halafu kuna maticha very very peace and humble down to Earth

Wewe utakuwa na vurugu za maono during your years at school [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
naongea hivi kwasababu nina mtoto wa jirani anaogopa kurudi shule kwasababu ya fimbo. kisa tu icho kishule chao walitaka darasa la nne wafaulu ili kutangaza shule yao wapate watoto wengi kibiashara ya shule. kuna maumivu mengi sana maticha wanafanya,ni wakatili sana na ukipeleka mtoto pale huwa wanaamini wanammiliki wao hata mzazi ukienda pale ni kama wanaamini wewe ni stranger. majority ni wajinga tu, though walitusaidia kujua kusoma na kuandika, kwingine huko ni efforts zetu tu na msaada wa Mungu, na zaidi sana walikuwa wanapata mshahara hivyo iliwapasa kufanya zaidi ya vile walivyofanya kwasababu wasingefanya chochote kama ni bure.
 
Still unampeleka mwanao akafundishwe na aliefeli

Kati yako wewe na mwalimu nani amefeli pakubwa!?
ila hiyo haiondoi ukweli kwamba ualimu kwa africa ni kada ya watu waliofeli. ukifeli form four, unaenda chuo cha ualimu. ukifeli form six unaenda chuo cha ualimu. ile cream nzuri ndio inaendela mbele. kwani uongo? sasa mfano mtu amefeli kwenda kidato cha juu, na unampa afundishe english, ambayo hata yeye haijui? no wonder tumejifunza kiingereza tulipofika chuo kikuu.
 
naongea hivi kwasababu nina mtoto wa jirani anaogopa kurudi shule kwasababu ya fimbo. kisa tu icho kishule chao walitaka darasa la nne wafaulu ili kutangaza shule yao wapate watoto wengi kibiashara ya shule. kuna maumivu mengi sana maticha wanafanya,ni wakatili sana na ukipeleka mtoto pale huwa wanaamini wanammiliki wao hata mzazi ukienda pale ni kama wanaamini wewe ni stranger. majority ni wajinga tu, though walitusaidia kujua kusoma na kuandika, kwingine huko ni efforts zetu tu na msaada wa Mungu, na zaidi sana walikuwa wanapata mshahara hivyo iliwapasa kufanya zaidi ya vile walivyofanya kwasababu wasingefanya chochote kama ni bure.
Usiwepende kufanya generalization haraka haraka

Tumia akili wakati mwingine sio emotions
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
ila hiyo haiondoi ukweli kwamba ualimu kwa africa ni kada ya watu waliofeli. ukifeli form four, unaenda chuo cha ualimu. ukifeli form six unaenda chuo cha ualimu. ile cream nzuri ndio inaendela mbele. kwani uongo? sasa mfano mtu amefeli kwenda kidato cha juu, na unampa afundishe english, ambayo hata yeye haijui? no wonder tumejifunza kiingereza tulipofika chuo kikuu.
Unaona sasa !?

[emoji1787]
 
Back
Top Bottom