Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

Mimi sio mwalimu ila nadhani zifuatazo zinaweza kua ni sababu kwa kiasi kikubwa;-
  1. Mishahara midogo. Kada ya ualimu ni miongoni mwa kada zenye mshahara midogo ukilinganisha na kada nyingine. Nakumbuka mwalimu mwenye shahada gross salary yake ni 730,000 sasa hii ikikatwa inabaki almost 400,000k. Gharama za maisha yani nyumba, nauli, usafiri, ada za watoto, umeme, chakula, n.k inakua ni shida.
  2. Kukosekana kwa posho. Katika maofisi mengi kumekuwepo na posho mbali mbali na watumishi wengi wananufaika sana na hizi posho. Mojawapo kubwa kabisa ni posho ya kazi za ziada. Yani ukifanya kazi kuzidi masaa yanayokubaliwa kiutumishi unakua subject to compensation. Ila sasa huko kwa walimu hakuna posho ya over time, hakuna house allowance, hakuna transport allowance etc. Kukosekana kwa hizi posho kunafanya walimu waishi mshahara to mshahara. Na kwakua mshahara ni mdogo, wanajikuta katika ukata
  3. Kukosekana kwa safari. Kwenye maofisi mengi kuna vijisafari safari vya hapa na pale vya training, workshops, seminars, technical commitees na kadhalika. Safari katika kada ya ualimu ni chache sana na unakuta wanachaguana mkuu wa shule au makamu wake au academic officers. Ndani ya miaka mitatu possibility ya mwalimu kusafiri na kulipwa per diem ni ndogo sana na safari yenyewe utakuta ni ya muda mfupi haizidi wiki.
  4. Kukosekana mianya ya kupiga dili. Walimu wateja wao ni wanafunzi. Hakuna dili yoyote hapo. Kwanza elimu ya siku hizi ni bure. Hakuna motisha wala hakuna mzazi atakupa laki mbili kama zawadi kwa kumfundisha mwanae vizuri. Kuna watu huko bandarini wana mijengo Mbweni kwa hizi dili ndogo ndogo za hapa na pale.
  5. Kutochangamka. Walimu wengi hua hawako sharp kwenye harakati nyingine za kimaisha ukiachana na kazi. Wengi wanakua busy kukimbizana na wanafunzi unakuta mtu yuko job had saa kumi na moja jioni anawapa wanafunzi wachelewaji adhabu wakati huo hana hata genge la kuuza nyanya pale home au wanafunzi watano wa kupiga pindi after work.

Nimechokoza mada
Umechokoza na uliyosema yote ni sawa ila kubwa kuliko yote nchi yetu inahusika moja kwa moja kutokuthamini walimu na kwa umasikini wao wanawatumia kisiasa.Ajabu sasa baba wa taifa alikuwa mwalimu sijui kwanini hakuliweka hili sawa.Amini usiamini kada nyingine masikini ni madaktari najua utashtuka ila kutokana na ugumu wa masomo yao na mazingira magumu ya kazi yao kipato wanachopata hakistahili ndio maana nikasema ni masikini daktari kinachowaokoa tu hasa wale mabingwa ni allowance za on call.Na kutoa mimba mitaani.
Marekani madaktari wanaheshimika sana na Ujerumani walimu ndio wenye mishahara mikubwa kuliko kada zingine Angel Mekel ndio aliliweka sawa hili
Nchi yetu kwa kifupi wana siasa ndio wenye hela na ndio maana wanakimbilia Ubunge.Magufuli RIP alijaribu kutengeneza hali ya kuondoa dhana ya watu kukimbilia siasa wakapige madili bahati mungu akamchukua we miss him alot
 
Ajira za ualimu sasa hivi almas..Yaani mtu anapokea mshahara laki 4 au zaidi+bima ya afya+ bado ana future ya kupewa mafao ya takriban milion 100 na pension juu...mtu huyohuyo anakopesheka benki kwa terms nafuu, huyu ndie anajiita masikini.huku ni kudeka..kwahyo tajiri ni nani? mtendaji, dereva polisi au mwendesha bajaji!
 
Kwasababu hakuna muajiriwa tajiri ila waajiriwa wote ni maskini wenye hafadhali
Ajira ni sehem ya kutafutia mtaji wa kuanzisha biashara zako zingine na siyo kitu cha kukitegemea kwa asilimia [emoji817]

Chaguo ni lako mshahara ukitoka uendee bar ukaimbe beer tamu au ujichange kuanzisha mradi wako
mkuu nadhani utakua unazungumzia Ajira za muhindi.
 
Miaka 7 hawajaongezewa mishahara.na CCM siyo ya wakulima na wafanyakazi tena wa nchi hii.
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
Taja kada unazojilinganisha nazo ili tukutajie kada za watumishi masikini kuzidi walimu
 
Mimi sio mwalimu ila nadhani zifuatazo zinaweza kua ni sababu kwa kiasi kikubwa;-
  1. Mishahara midogo. Kada ya ualimu ni miongoni mwa kada zenye mshahara midogo ukilinganisha na kada nyingine. Nakumbuka mwalimu mwenye shahada gross salary yake ni 730,000 sasa hii ikikatwa inabaki almost 400,000k. Gharama za maisha yani nyumba, nauli, usafiri, ada za watoto, umeme, chakula, n.k inakua ni shida.
  2. Kukosekana kwa posho. Katika maofisi mengi kumekuwepo na posho mbali mbali na watumishi wengi wananufaika sana na hizi posho. Mojawapo kubwa kabisa ni posho ya kazi za ziada. Yani ukifanya kazi kuzidi masaa yanayokubaliwa kiutumishi unakua subject to compensation. Ila sasa huko kwa walimu hakuna posho ya over time, hakuna house allowance, hakuna transport allowance etc. Kukosekana kwa hizi posho kunafanya walimu waishi mshahara to mshahara. Na kwakua mshahara ni mdogo, wanajikuta katika ukata
  3. Kukosekana kwa safari. Kwenye maofisi mengi kuna vijisafari safari vya hapa na pale vya training, workshops, seminars, technical commitees na kadhalika. Safari katika kada ya ualimu ni chache sana na unakuta wanachaguana mkuu wa shule au makamu wake au academic officers. Ndani ya miaka mitatu possibility ya mwalimu kusafiri na kulipwa per diem ni ndogo sana na safari yenyewe utakuta ni ya muda mfupi haizidi wiki.
  4. Kukosekana mianya ya kupiga dili. Walimu wateja wao ni wanafunzi. Hakuna dili yoyote hapo. Kwanza elimu ya siku hizi ni bure. Hakuna motisha wala hakuna mzazi atakupa laki mbili kama zawadi kwa kumfundisha mwanae vizuri. Kuna watu huko bandarini wana mijengo Mbweni kwa hizi dili ndogo ndogo za hapa na pale.
  5. Kutochangamka. Walimu wengi hua hawako sharp kwenye harakati nyingine za kimaisha ukiachana na kazi. Wengi wanakua busy kukimbizana na wanafunzi unakuta mtu yuko job had saa kumi na moja jioni anawapa wanafunzi wachelewaji adhabu wakati huo hana hata genge la kuuza nyanya pale home au wanafunzi watano wa kupiga pindi after work.

Nimechokoza mada
Noma sana!
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
Watu wanna kula kwa urefu wa kamba zao. Wateja wa mwalimu ni wanafunzi, hawana kitu, na mpaka mwl anawanunulia madaftari au nguo. Mwl hana muda wa ziada wa kufanya biashara. Mwl anafanya kazi muda mrefu kwa malipo madogo, anadhurumika. Maendeleo kwake yatakuwa chini ya wastani.
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
Sababu za kihistoria. Ilifika mahali tukadharau elimu kama nchi. Tukaanza kupata walimu wa UPE. Universal Primary Education. Walikuwa ni darasa la saba. Baada ya hapo, waliokwenda ualimu ni form four failures. Kijana anaenda huko akikosa mengine yote.
Taaluma ya ualimu ikapoteza mwelekeo hadi sasa. Huwezi kutegemea walimu wa aina hiyo wapige hatua kimaisha.
 
Walimu wanakuwa masikini sababu huwa wanachukua mikopo mikubwa ynye riba kubwa halafu wanajenga majumba halafu anakatwa marejesho miaka 10 kwa muda wote huo wanakuwa wanaishi kwa mshahara wa laki 2 baada ya makato
 
Ukitaka kujua walimu ni maskini jiulize mwisho wa mwezi wakipewa Panadol Huwa wanaenda kula Bata wapi. Ni kwenye vilabu vya pombe chafu. Walimu hawana mshahara wanalipwa Panadol tu ya kutuliza maumivu siku 5 tu baada ya hapo ni kilio mpaka mwisho wa mwezi tena ndo watambe. Hao watu ni maskini mno wakisikia Panadol yao imetoka watapanga foleni ATM hao maana hata kwa wakala wanaogopa makato makato ya elfu kumi kwao ni Kama laki.
 
Ila wanasema walimu wanaoishi dar wanapesa sana
 
Ukitaka kujua walimu ni maskini jiulize mwisho wa mwezi wakipewa Panadol Huwa wanaenda kula Bata wapi. Ni kwenye vilabu vya pombe chafu. Walimu hawana mshahara wanalipwa Panadol tu ya kutuliza maumivu siku 5 tu baada ya hapo ni kilio mpaka mwisho wa mwezi tena ndo watambe. Hao watu ni maskini mno wakisikia Panadol yao imetoka watapanga foleni ATM hao maana hata kwa wakala wanaogopa makato makato ya elfu kumi kwao ni Kama laki.
usidharau kazi za watu aise
Kwa taarifa yako walimu na wenyewe wanajenga nyumba za kuishi kama wewe na wengine wana usafiri
sio kila mwalimu anategemea mshahara wa ualimu yapo mambo mengi ya kufanya ambapo hata wewe unayewakejeli huwezi fanya.
Kuna mama mmoja hapa mchaga jina namuhifadhi ni mwalimu wa primary lakini ni agent wa kuuza bia na soda sehemu tulipo ana ukwasi wa kutosha kuliko hizo njugu zako unazohesabia mfukoni.
Nilishawahi muuliza kwanini haachi ualimu akanijibu ni kazi iliyompa huo utajiri maana alianza kuuza visheti shuleni kwa wanafunzi anaiheshimu sana hiyo kazi zaidi ya yote inampa security na pia inampa contacts na wakubwa wa serikalini maana afisa elimu wa wilaya,mkoa waziri wa elimu,RPC wote ni rafiki zake unaona wewe mtoa mada?
 
Ni kubadili Chama kije kingine kitawasikiliza kilio Cha watumishi wa umma.
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
once ulisaini ule mkataba wa kazi, ulisaini umasikini wa kujitakia wewe na kizazi chako. Vumilia maisha yaende usijute
 
Ila walimu mpo wengi ndo mana mnaonekana ka maskin lkn serikalin haswa tamisemi wengi wao n maskin wana afadhali kwamba wanapata hela ya kula tu ivi mshawah ona maisha wanayoishi hawa maafsa ugani yaan kilimo na mifugo n ya ovyo bora walimu sema wao n wachache ila wana maisha magumu na mishahara n midogo sn nmemuona afsa mifugo mmoja anasema yuko kazin miaka saba na ana nyumba mbili tu ss huo si umaskin miaka saba kazin nyumba mbili kweli n kupoteza muda
 
Walimu wanakuwa masikini sababu huwa wanachukua mikopo mikubwa ynye riba kubwa halafu wanajenga majumba halafu anakatwa marejesho miaka 10 kwa muda wote huo wanakuwa wanaishi kwa mshahara wa laki 2 baada ya makato
Na pia hawana marupurupu kama watumishi wengine, hawana safari, hawana seminars kwa mbinde, sioui pia kama wana extra duties. Kusimamia mitihani ni once or twice per year na wanalipwa 20k thus wanadepend zaid kwenye mshahara wenye makato kibao
 
Back
Top Bottom