Kurutu wa Mungu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 366
- 578
Hizi shule za technical zinaua talents za watoto maana pale utasoma ufundi kumbe huyo mtu angesoma shule za kawaida angekuwa mwanasheria mzuri au mchumi mzuri ungeandaliwa mfumo mzuri wa kuwapata wale watoto wenye talents za ufundi ndiyo wapelekwe huko siyo kulazimisha watoto kusoma ufundiBiology , English na Kiswahili ni masomo ya Lazima Tech. schools.