Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

Majibu yako na nakuomba uyaamini yote kwa 100% na kuanzia hapa Usisumbuke nao tena.....

1. Washamba
2. Wazinzi
3. Malofa
4. Wana Akili za Kipa Katoka
5. Elimu duni
6. Malezi mabovu
7. Kuiga / Kuigana

Na hapa GENTAMYCINE nimewalenga hawa wa chini ( Non Commissioned Officers tu ) ambao ndiyo wana huu Upopoma ( Upumbavu ) ila wale Commissioned Officers ni Makini, Werevu, Wastaarabu, Wanajitambua na wana Maendeleo na hata Wakikopa bado watafanya Jambo la maana Kimaendeleo na Kiuchumi kwa Familia zao.

Kila la Kheri Mkuu.....!!
 
We kwanini umkopeshe mwanajeshi na unafahamu tu kwamba ni mtu ambae maisha yake yapo rehani kukulinda wewe?

Unamkopesha akienda vitani akafia huko nani atakulipa?
 
Naunga mkono hoja kaka 👍👏
 
Hao ni polisi. Hakuna mwanajeshi wa hovyo namna hiyo
 
Hao ni wanajeshi wa vyeo vya chini ambao elimu yao ni form4. Maofisa wa vyeo vya juu huwa wanajitambua na ni wastaarabu sana.
Maofisa hawanaga ubabe wa kishamba wala ulimbukeni huo.

We chunguza elimu na vyeo vyao, ni wale wenye V
 
Ulifanya jambo LA msingj sana
 
Noma sana
 
Hao ni wanajeshi wa vyeo vya chini ambao elimu yao ni form4. Maofisa wa vyeo vya juu huwa wanajitambua na ni wastaarabu sana.
Maofisa hawanaga ubabe wa kishamba wala ulimbukeni huo.

We chunguza elimu na vyeo vyao, ni wale wenye V
Unawasoma wanajeshi kwenye magazine boss kaa nao utawajua hamna kitu pale
 
Nani Kasema wanepwa Pesa Kubwa Kila Mwezi ?
Moja ya Kada yenye Njaa Kali Sana Nchini ni hao Jamaa
 
Hakuna Kitu kama hicho
Wanalipwa Kwa Ranks, Pesa Mbuzi Sana
Ni Vile WA Tanzania wengi Malimbukeni Wanawaabudu wanajeshi
 
Kwani Sir Mpwayungu kijiji analizungumziaje hili la hawa wajomba?
 
Wanakopa mikopo kausha damu na pasua kichwa [emoji1787]
 
Hao ni wanajeshi wa vyeo vya chini ambao elimu yao ni form4. Maofisa wa vyeo vya juu huwa wanajitambua na ni wastaarabu sana.
Maofisa hawanaga ubabe wa kishamba wala ulimbukeni huo.

We chunguza elimu na vyeo vyao, ni wale wenye V
Sahihi
 
Unawasoma wanajeshi kwenye magazine boss kaa nao utawajua hamna kitu pale
Wa Tanzania wengi ni Mbumbumbu
Wakiwaona wanajeshi wanahisi wameona Kitu cha Maana Sana na kuanza kuwaabudu.
Ndio Maana kuna Mmoja anasema Mwanajeshi alianzisha Mazoea na Mkewe halafu akawa anajikesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…