Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Anataka watembelee Ashok Leyland [emoji1787][emoji1787]Hivi kwanini wanajeshi wanatembelea IST? Wapewe ruzuku watembelee hata vifaru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka watembelee Ashok Leyland [emoji1787][emoji1787]Hivi kwanini wanajeshi wanatembelea IST? Wapewe ruzuku watembelee hata vifaru
Absolute Rubbish.....!!Unatazizo la kufikili...
Ungetambua hawa unaowaongelea ni watu wanaotoka kwenye jamii yetu hii inayotuzunguka usingeandika utumbo..:
Pengine kwenye ukoo wako kuna Askari japo mmoja asa hutaki anunue nguo wakati ndo hizohzo zinazouzwa Tanzania...
IST ni gari inayo hitaji budget ndogo kwaajil ya kuimiliki asa unataka wamiliki crown wakati budget haitoshi..
Acha ushamba.
Unachotakiwa kufahamu ni kwamba wanajeshi ni watu kama watu wengine tofauti ni majukumu tu.
Ninakubaliana nawe kwa hili 100% zote.Tatizo Ni mfumo wakuchukua failures na kuwaweka jeshini,wengi wao washamba mno, migwanda yao tu ila vichwani ni jiiiiiiirooo