Leo asubuhi nilitumia usafiri wa umma kutoka gongo la Mboto kwenda kazini, eebhae!!! Wananchi wanapata tabu sio utani. Ukiona watawala wanapiga pesa badala ya kutatua kero za aina hii inachosha kidogo,Kwa maoni yangu ni kwamba wamechoshwa na uongo wa wanasiasa. Ahadi wanazotoa kabla ya kupewa madaraka hazitekelezwi badala yake wanafikiria tu kula kwa urefu wa kamba zao. Kibaya zaidi wengine huzidisha kula hadi kuvimbiwa wakati wananchi wakiganga njaa.
Tawala za kiimla na kidiktetea zimerudi kwa kasi sawa.Wananchi hawana tena uwezo wa kutumia kura kuchagua viongozi wao.Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
Ingekuwa hivyo punda wasingelazimika kupañda ndege kwenda Brazil na India kupakia mzigo🏋️.Wajeda hawana hela.
Kule Guinea-Bissau sababu ni mihadarati. Ile nchi ni muhimu katika biashara ya mihadarati na uwepo wa Serikali inayotishia maslahi ya wauza madawa huwa inapinduliwa
Yule wa Malawi mbona alishinda na Sasa nae anayafanya yaleyale aliyokuwa anayapinga akiwa nje?Tawala za kiimla na kidiktetea zimerudi kwa kasi sawa.Wananchi hawana tena uwezo wa kutumia kura kuchagua viongozi wao.
Utakuta kiongozi mkuu wa nchi anateua tume ya uchaguzi yenye watu wake na anawapa maelekezo polisi wabane wapinzani.
Mwisho wa siku yeye anapata kura kwa asilimia 100 na anapata wabunge 100%.
Unataka kujenga hoja gani hapO?Yule wa Malawi mbona alishinda na Sasa nae anayafanya yaleyale aliyokuwa anayapinga akiwa nje?
Bora hata hali ingekuwa inabaki vile vile, Bali hali huwa inakuwa mbaya zaidi.Baada ya mapinduzi kufanyika, je madhila ya wananchi yataisha? Au hali itakuwa vilevile? uncertainty principle.
Sudan walifurahia lakini sasa hivi wanakiona, hali imekuwa mbaya sana.Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
Afrika Kuna matatizo yanayotoka nje ya Africa, Tshishiked kule DRC sio kwamba nae anafanya vizuri kumzidi Kabila. Sio kweli kwamba Marais waliopinga uwepo wa corona kwenye mataifa Yao lazima wote wafe ghafla kama ilivyotokea kwa Tanzania na Burundi, hii so kweli, inawezekana Marais wote wanapokea amri, vitisho, na maelekezo kutoka nje ya Nchi zao.Unataka kujenga hoja gani hapO?
Kwa hiyo unasema hakuna madekteta Africa ? KUWA ata Magu alikuwa anapokea maelekezo kutoka nje kukandamiza demokrasi?Afrika Kuna matatizo yanayotoka nje ya Africa, Tshishiked kule DRC sio kwamba nae anafanya vizuri kumzidi Kabila. Sio kweli kwamba Marais waliopinga uwepo wa corona kwenye mataifa Yao lazima wote wafe ghafla kama ilivyotokea kwa Tanzania na Burundi, hii so kweli, inawezekana Marais wote wanapokea amri, vitisho, na maelekezo kutoka nje ya Nchi zao.