kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Magu alitumia uncommon sense kufanya yale wasiyoyataka mabeberu. Ngazi aliyokuwa ainaitunia Magu ndiyo waliyoitumia mabeberu kukwea na kufikisha nchi zao kileleni hapo zilipo Sasa. Baada ya mabeberu kufika kileleni wakaificha na wengine kuichoma moto ili wengine wasiitumie tena kupandia juu. Ngazi hii muhimu kwa kupandia juu kiuchumi na kimaendeleo imefichwa kwenye mahandaki ya demokrasia, na haki za binadamu na kulindwa kwa kutumia IMF, World Bank, human watch, WHO, UNICEF, UNESCO, UNHCR, UNFPA ili watu wasidokoe.Kwa hiyo unasema hakuna madekteta Africa ? KUWA ata Magu alikuwa anapokea maelekezo kutoka nje kukandamiza demokrasi?
Kwaasili binadamu wote hawapendi kazi, Huwezi kujenga nchi na hata familia kwa kutumia demokrasia, haki za binadamu na hiari. Magu alifahamu hili, nadhani alionyonywa sana na mabeberu asiitafute ngazi iliyofichwa. Hata kwenye familia kama utatumia demokrasia na haki za watoto basi watoto wako hawataenda shule n kufaulu