Kwanini wananchi hawana imani na awamu ya 6, kila kitu wanahisi wanapigwa?

Mbona Magufuli alipokuwa hai wote mliufyata?

Msimchukulie powa kihivyo, katiba mpya ni muhimu ila si uungwana mtu amechukuwa nchi iliyoharibiwa na kichaa ukampachika Agenda zote kwa wakati mmoja, wananchi sasa tunapumuwa.
Vyeti feki
Madawa ya kulevya
Majambazi
Wahujumu uchumi
wezi wa Mali ya umma
Vibaka
Wavivu
Wafitina
Wala rushwa
Majangili
Wakwepa kodi
Wakosa uzalendo
Watorosha madini
Na wahalifu wengine wotee

Sasa mnapumuaaa😂😂😂
 
kuishi kwa koneksheni simply it means ni kuishi kwa kujipendekeza na uchawa.Hayo maisha yana muda na umri wake vinginevyo utaishia fedheha tu.
 
Ndugu yangu, wewe kula tu kwa urefu wa kamba yako na si kuanza kuandika upumbavu hapa!
Mpumbavu no wewe uliyeaminishwa na Mwendazake upuuzi maana alikuwa anawaambia eti mtu anaenda kufungulia maji kwenye Bwawa la umeme yatoke Ili wauze jenereta yet hakuwahi mkamata hata mmja kwa uhujumu uchumi.

Nyie wajinga ndio mliambiwa tumeanzosha mahakama ya mafisadi then hakuwahi mfikisha hata mmja kwenye mahakama ya mafisadi akaishia kisingizio watu afu ku compromise nao wakilipa pesa.

Na upuuzi mwingine kama huo.Ameharibu uchumi badala ya kutafuta mbinu za kukuza Uchumi Ili aongeze pesa anaanza kubambikia watu Kodi na kupora pesa zao.
 
Mbona Magufuli alipokuwa hai wote mliufyata?

Msimchukulie powa kihivyo, katiba mpya ni muhimu ila si uungwana mtu amechukuwa nchi iliyoharibiwa na kichaa ukampachika Agenda zote kwa wakati mmoja, wananchi sasa tunapumuwa.
ndugu wa marehemu njooni huku ndugu yenu anasimangwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hii ni kweli wiki iliyopita nilipita shule moja ya msingi hapa mwanza jiji nikakutana na wanafunzi kama 20+ hivi wakajitambulisha kuwa wanasoma darasa la tano mmoja alikuwa mchafu Sana nikamuuliza shida nini?? dogo akafunguka Sana na wenzake kuwa sabuni zimepanda bei badala ya 300 kipande SASA hivi 600 hivyo hawezi kununua sabuni, madogo nikawqhoji kidogo wakasema wazi kuwa samia suluhu ndiye qnayesababisha, nikawquliza kwahiyo tufqnyeje sasa??? wakasema tumuondoeee hata leo duuuu! niliogopa Sana kile kizazi aseee!
 
Tena hao wa kanda ya ziwa ndio kabisaa. kuna imani fulani imepandikizwa kwao
 
Huyu bibi bora arudi kwao Zanzibar huku pagumu sn hapawezi
 
hana mvuto kabisa
 
Zao la chui ni chui tu. Awamu ya mama ni zao la awamu ya tano. Ina vinasaba vya chuki na udhalimu. Tangia lini ahera wakaishi malaika?
 
Ila mkuu hii kazi yako wengi wanaitamani sana, mm pamoja na kuwa pro chadema Ila Ni ngumu sana kwa siku nzima kupitia nyuzi zote na comment zote ili kutafuta wanaoitukana chadema.
Ila ww kwa mama na CCM umeweza, nahisi malipo sio haba.
 
Ugumu wa kazi unatokana na nini hasa?

Mimi sio mwana ccm bali ni pro Samia,nakushangaa yaani .

Hivi hao wananchi mnaowasemea ni Hawa hapa chini au wengine? 👇

Ulichokiandika ndo kinaakisi ujinga wako

Kula kulingana na urefu wa kamba yako kima wewe!

Nakuona ulivyotengewa chakula haramu mezani na unakitetea!!

Fangasi Mkubwa wewe
 
Mbona Magufuli alipokuwa hai wote mliufyata?

Msimchukulie powa kihivyo, katiba mpya ni muhimu ila si uungwana mtu amechukuwa nchi iliyoharibiwa na kichaa ukampachika Agenda zote kwa wakati mmoja, wananchi sasa tunapumuwa.
Wewe kila siku huwa nakwambia umejaza matope huko kichwani na huwa nakwambia huyo kichaa wako alikuwa anakubutua maana hujawahi kuacha kumtaja hata kwenye mijadala isiyo yake

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mtu anaongea mbele ya watu ccm ina wenyewe sio muda anakula teuzi ..alafu na kina liz one
Watu ndo wawe na imani nayo
Napenda tabia ya kuchukua maoni alafu napinga watu wengi mama hawamtaki
 
Ukiona serikali wanakubali katiba mpya na yenye tija kwa Taifa basi tambua kuwa; serikali hiyo imenyooka ktk utendawaji wake na haina makandokando.
BALI ukiona serikali inapiga chenga katiba hiyihiyo basi serikali hiyo ina mambo yenye mawaa, uongo, udanganyifu na sio wasafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…