Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Uroho tu wa vichwa na miguu pia ni njia ya kuwapa waislam rizki ukienda ulaya utakula tu vibudu
Kuna tatizo lipi ikiwa mwenye nyama ataamua kuwapa waliomchinjia?

Huoni kuwa ni jema sana hilo?
 
Mbona mimi mbuzi na kuku wangu nachinja mwenyewe...

Unakula ww unataka uwapelekee wengine wachinje?
 
Huwa unakula vibudu
Aisee imani zinawadanganya watu..., watu wengine na uzee huu basi tungekufa maana tunachinja wenyewe na tunakula na nyama inakua tamu saana hivyo vibudu sijui ndo vinini...
 
Naam, sasa waambie basi wasiwape Wakristo wanojielewa wasiwape mifugo yao Waislam kuwachinjia kama dini yako inakufundisha usimsaidie mwenye njaa, utakuwa unamfata shetani. Au?
 
Mungu muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo HANA DINI!

Kwa sababu Mwanadamu amejawa Ujinga na chochote kinachoongozwa na mwanadamu lazima kiwi TARNISHED na ujinga.
 
Hakuna muislam anaedumisha sala halafu anakula nguruwe!

Muislam huyo HAYUPO!!
 
Huwa mnakana maneno yenu wenyewe. Kutwa kutamba mtume alishushiwa vitabu vitakatifu mara aliandika mafunza haya au yale hapo hapo mnakuja kujikweza kuwa dini ilikuwepo miaka mingi

Mnamfata mtume ndo maana watu wakichora katuni au kumtaja mnavyoona sivyo mnawaua

Daima siwezi kufatilia mafunzo ya dini nisiyoiamini

Kuna dini nyingi mno ila nyie kiboko cha kujikweza tembea uone mkuu usikalie kupigana na ukristo wakati kuna uyahudi,budha etc

Yesu mnayemsakama ndo huyo anawaendeshea kalenda mnazozifuata kila siku
 
Sahihisho mkuu.Rekebisha KuJAMIIANA na watu wengine labda iwe kuJUMUIKA na watu wengine.....
 
Jamiiana ni interaction kwa kimombo.
Japo lina ukakasi kidogo ila hiyo ndiyo maana msingi.
iNTERACTION = Kuchangamana = kuendana na..= Kutokujibagua= kujichanganya katika makundi tafauti..
KUJAMIIANA = Njia ya kuzaliana(Kuzalishana) = Tendo la Kuongeza idadi na aina ya viumbe wa aina moja katika Jamii mahalia.
 
Hakuna muislam anaedumisha sala halafu anakula nguruwe!

Muislam huyo HAYUPO!!
Ndiyo maana tukasema hatuna uwezo sisi wa kumuhukumu mojakwamoja atajuana na Muumba wake aliyemuumba,kumbuka zambi kubwa kabisa katika Uisilamu ni shiriki ikifuatiwa na kuuwa
 
Sahihisho mkuu.Rekebisha KuJAMIIANA na watu wengine labda iwe kuJUMUIKA na watu wengine.....
Sawa ngoja nirekebishe,
Ila hiyo ni maana halisi ya neno interaction ila huwa ina visawe vinginevyo lakini huwa na ukakasi kwa baadhi ya watu.
 
Mtoa mada mbona hajibu maswali!!
Tunaposema tumeruhusiwa,maana yake tumepewa utaratibu mzima wa kuchinja na sheria zake,toka kipindi cha baba yetu Adamu,sasa sijui upande wa pili wanapochinja wanautaratibu gani,au wanajichinjia tu
 
Aisee imani zinawadanganya watu..., watu wengine na uzee huu basi tungekufa maana tunachinja wenyewe na tunakula na nyama inakua tamu saana hivyo vibudu sijui ndo vinini...
Uisilamu haujaacha kitu,labda tukusaidie kunachakula cha halali,ambacho chuma yake ni ya uhalali,inamaana wewe muhusika umefanya kazi ya halali ukapato pato la halali na ukanunua chakula,na kinyume chake umezulumu,umetapeli au umeiba au aliyekupa hicho chakula ni mshirikina kinageuka kuwa siyo cha halali.

Kibudu ni kitu kilichochinja bila kutaja jina la Mwenyezi Mungu,hutadhulika kwa macho yako unavyoona lakini mtakuta na Mungu wako,maana alichokataza Mwenyezi Mungu wewe huwezi kualamisha
 
Naam, sasa waambie basi wasiwape Wakristo wanojielewa wasiwape mifugo yao Waislam kuwachinjia kama dini yako inakufundisha usimsaidie mwenye njaa, utakuwa unamfata shetani. Au?
Mimi ni Mkristo ninaye jielewa! Siku zote nachinja mwenyewe. Hivyo ule utaratibu wa kumuachia mtu shingo, kichwa na miguu! Haupo. Vyote tunakula wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…