superchager turubo
Senior Member
- Aug 12, 2023
- 177
- 304
wee itakuwa nifundi umeme bila shaka.mnakuwaga naubishi wakijinga sana.vitu vyenyewe mnavyo bishia uzoefu navyo Hamna mnaishia kusoma maelezo tuu mlio karirishwawe umeamua tu kuakaza kichwa.
Hapa ulikuwa unaelekea kupatia katika msingi wa kutokubaliana kwenu.Acha ujuaji weee unavyoonekana wee magari umeyasoma zaidi kwenye vitabu sio kujifunza kwavitendo.
Na we ungeleta ya kiswahili, kama lengo ni huyo mwamba aelewe vizuri.View attachment 2723489
View attachment 2723490
View attachment 2723491
Tena nakuongezea, usivute gari automatic kwa zaidi ya 25KM. Maana hilo sikuliandika.
Manual za magari yote zimeweka condition za kuvuta gari yenye automatic transmission, wewe unasema hamna madhara yoyote. According to uelewa wako .
Acha kujifanya mjuaji wewe.unataka kuniaminisha kuwa ukivuta gari kwanamna ninayo SEMA utaharibu nini kwamfano?Hizo clutch zipo katikati ya backing plates na nafasi huwa ni ndogo, wewe unasimama hapa unasema Oil inayohitajika ni kidogo. Haupo serious aiseeee
Mimi nimeanza kujifunza kwavitendo nikaiva nikaenda veta.chakusikitisha hawa jamaa waveta kwenye kuelezea gari kwamaneno na maandishi huwawezi🤣njoo kwenye vitendo Sasa Hamna kitu kabisa.Hapa ulikuwa unaelekea kupatia katika msingi wa kutokubaliana kwenu.
Mmoja kajifunza kwa vitendo (ambaye ndiyo wewe)
Mmoja kajifunza kwa vitabu na vitendo.
Namshauri huyo wa vitendo pekee, aende akajifunze na vitabu ili awe nondo..... tena sio vitabu vya zamani. La. Soma taarifa mtandaoni, soma na zile manua za magari husika. Mshike sana elimu mazee.
Ni masikitiko mda mwingine ukienda kwenye vyuo rasmi kusoma badala utoke nondo. Ndo unatoka mjingamjinga tu hujui kitu ila una vyeti.nimeenda veta ikawa Kila muda wa kufanya kwavitendo Mimi ndio nilikuwa mwalimu wao naachiwa nawaelekeza jinsi yakufunga na kufungua walikua hawajui hatawale nilio wakuta wana miaka miwili pale veta.
Maelezo ya oil nimeyapata, nashukuru.itapanda nakuingia kwenye maklach,konveta na sehemu nyinginezo.
hata ukizima oil iliyo ingia huko haiwezi kutoka labda uwashe gari ipate mzunguko wake lakini gari ikiwa of haiwezi kutoka huko
kwasababu sampo itakuwa imejaa oil Hadi kwenye valvu ches.ili oil iliyo juu kwenye maklach nasehem nyingine ishuke kwenye sampo lazima iliyopo kwenye sampo inyonywe na filter kwenda juu Naya juu nayo ije chini
Sasa kwamaelezo haya kama umeyaelewa gari ikiwa of namaanisha ikizingua ukiivuta utaharibu nini?
mzungu anakupa tahadhari tuu lakini sio hatari kama mnavyo fikiri
Wewe fundi wa wapi mbona upo shallow sana!!dogo Mimi nifundi Niko kazini miaka kumi sasa.nimeshavuta magari siichini ya mía nayote hayakupata changa moto yoyote.
sikia wee yanki kama gari haipo on hakuna chochote chakuzalisha joto Tena sAwa?
nimevuta gari moro dar tanga dar kibaha dar.speed yakawaida.huwezi kuendesha spid huku unavuta mwenzie.Ni masikitiko mda mwingine ukienda kwenye vyuo rasmi kusoma badala utoke nondo. Ndo unatoka mjingamjinga tu hujui kitu ila una vyeti.
Mi uzoefu ninao wa kwenda kusomea udereva eti chuo halafu mazingira ya kujifunza usipokiwa makini unatoka hata kuendesha hujui. Tena mwalimu alionekana kama anafundisha zaidi namna ya kuokoa mafuta kuliko namna ya kuendesha gari.
Hilo kweli ni tatizo, lakini halizuii mtu kusoma kwa bidii na kutafuta vyanzo vingine kwa wataalamu ana kwa ana na mitandaoni bro. Kila mmoja anaweza pata faida kwa kujumlisha alichonacho na kilichopo upande mwingine.
Maelezo ya oil nimeyapata, nashukuru.
Na ulivyosema kuhusu wametoa tahadhari za kufuatwa ni kweli kabisa. Na pia wazungu wana mtindo wa kutahadharisha saaana. Mixer wabongo walivyo na mtindo wa kupuuzia sana.
Na hata hivyo, wote mnaweza kuwa mpo katika ukurasa mmoja tu kuhusu kwamba; gari ivutwe au isivutwe. Wote mkawa kwenye ivutwe ila kwa kanuni fulani labda. Sina hakika, labda nikuulize.
Kwani we unapoivuta, unajitahodi kufuata hizo kanuni za usiwe umbali mrefu sana na isiwe spidi kubwa? Kama jibu ni ndiyo basi ndio maana umevuta magari zaidi ya mia, kwa miaka zaidi ya kumi na hakuna iliyozinguaa. Eassy tu.
kajifunze Tena magari ndio uje kubishana hapa.✋Wewe fundi wa wapi mbona upo shallow sana!!
Friction ya brake pads pekee inaweza kukuzalishia moto
Swali langu huwa mnaweka oil za gearbox za buku 7 kwenye magari ya watu kitu ambacho ni makosa. Je, Ni kwa sababu madhara huwa hayatokei hapohapo hivyo mnajiaminisha kuwa mnachokifanya huwa kiko sawa?dogo Mimi nifundi Niko kazini miaka kumi sasa.nimeshavuta magari siichini ya mía nayote hayakupata changa moto yoyote.
Ni ngumu kuelewa joto linazalishwaje kwa elimu ya mtaani.sikia wee yanki kama gari haipo on hakuna chochote chakuzalisha joto Tena sAwa?
Hiyo oil ya gearbox moja wapo ya kazi yake ni kupooza kama coolant inavyooza kwenye engine. Na ndio maana hakuna njia za maji kwenye gearbox.mbona injini Ina oil na njia zamaji?
Huenda umeshachangia sana kuharibu magari ya watu taratibu, Kutokufa papo hapo haimaanishi kwamba haziharibiki.nimevuta gari moro dar tanga dar kibaha dar.speed yakawaida.huwezi kuendesha spid huku unavuta mwenzie.
Shida unaamini sana ulichokuwa nacho, hata kama hakipo sawa wewe umekaza tu, hamna mtu anayejua kila kitu, ndio maana tunajifunza kila siku.kajifunze Tena magari ndio uje kubishana hapa.✋
Kataa kubali Huyo jamaa atakua CCM TUKuna jamaa alikua mbishi, akaivuta ford ranger AT, kutoka Moro hadi Dar, gari ilikua na changamoto ndogo tuu kwenye engine, kufika Dar, engine wakatengeza ikapona, kutest gari, Gearbox haifai. Kakwepa gharama za kubeba, kanunua gearbox mpya
Heheheh, we huoni kila mtu anakuattack, Hushituki kwamba kitu hakiko sawa?wee itakuwa nifundi umeme bila shaka.mnakuwaga naubishi wakijinga sana.vitu vyenyewe mnavyo bishia uzoefu navyo Hamna mnaishia kusoma maelezo tuu mlio karirishwa
mechanics tunaelewa tukiwaambia muache ubishi.
Heheheh, we huoni kila mtu anakuattack, Hushituki kwamba kitu hakiko sawa?wee itakuwa nifundi umeme bila shaka.mnakuwaga naubishi wakijinga sana.vitu vyenyewe mnavyo bishia uzoefu navyo Hamna mnaishia kusoma maelezo tuu mlio karirishwa
mechanics tunaelewa tukiwaambia muache ubishi.
Acha kujifanya mjuaji wewe.unataka kuniaminisha kuwa ukivuta gari kwanamna ninayo SEMA utaharibu nini kwamfano?
Kama veta ndio kipimo chako cha kwamba wanayajua magari, unafeli sana.Mimi nimeanza kujifunza kwavitendo nikaiva nikaenda veta.chakusikitisha hawa jamaa waveta kwenye kuelezea gari kwamaneno na maandishi huwawezi🤣njoo kwenye vitendo Sasa Hamna kitu kabisa.
Haya maelezo ni kwa gearbox ambazo hazina dipstick, tushazoea kwenye gari za mjerumani. Ila gari yenye dipstick weka oil kiasi kinachotakiwa washa gari katembee ikipata moto njoo upime tena.Sasa huyu kaenda kugugo ndio anakuja kutudanganya humu wakati magari anayo yasemea tumeyavuta sana nahayaharibiki giabox.
kwanza gari za auto ukiweka oil lazima uiwashe usipo iwasha kama inaingia Lita tisa ukiweka saba oil itaanza kumwagika ikiashiria imejaa kumbe sio kweli.
Converter tu ndio inatunza oil hizo sehemu zingine zilizobaki hazina mahali pa kutunza oil. Ndio maana gari ikipaki masaa mengi oil nyingi inashuka chini.jibunikwamba haitamwagika coz ukiwasha oil itapanda nakuingia kwenye maklach,konveta na sehemu nyinginezo.
hata ukizima oil iliyo ingia huko haiwezi kutoka labda uwashe gari ipate mzunguko wake lakini gari ikiwa of haiwezi kutoka huko
Sasa anakupa tahadhari ya nini kaka siyo hatari. Hata sijui umeandika nn?mzungu anakupa tahadhari tuu lakini sio hatari kama mnavyo fikiri.