King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hapana kateuliwa na Lisu wakiwa na amsterdan na mbowe
Mtafanyaje?Na asipo yajibu mtafanyaje. Sanasana mtasema haampi kura. Na msipo mpa kura lakini akashinda uchaguzi mtafanyaje. Mtakuja kulalamika jamii forum. Jamii forum ikifungiwa mtafanyaje. Mtakubali matokeo na mtaendelea na shughuli zenu za kawaida. Yu will do nothing. Yu are battling with power in which it has a back up power in itself.
Wamesahau kuwa hatukuchukua hatua kama Brazil hadi kafa, hatua kama hizi zilitakiwa kuchukuliwa mwaka jana ili hata kama hiyo 17/3 angekufa ingekuwa tumesha msulubu.Kelele zimekuwa aendeleze ya Magufuli!! Mama sanuka, unaingizwa mkenge
Cha msingi tushukuru tu nchi ina amani basi. Otherwise hakuna tunachoweza fanya. Tujifurahishe tu na porojoMtafanyaje?
Elewa nawe basi! Nani hayataki hayo?Kwa nn aende kinyume? Unataka airudishe nchi msoga..kwenye shamba la bibi au? Unataka aache kukamilisha mirad mikubwa ya kimkakati alioiacha jpm? Unataka wezi waanze kuiuza nchi yetu?
Kaa kimyaa tuache tuiendeleze nchi yetu.
Yawezekana yatakuwa yametokea shetani.Kwani unahisi yametoka wapi mkuu hahaha😂😂😂
Kilicho sahihi kwa mmoja wetu kinaweza kisiwe sahihi kwa mwingine kutegemeana na uelewa na uzoefu pia....
Na ndio maana rais amesema hilo tulisahau kidogo
Wewe ni Zero sio Hero! Nani kasema ya maana yaachwe?Akili yako umeoacha wapi na kiviacha vidole vijiandikie vyenyewe upupu huu! Kuna shida gani kuyaendeleza mazuri ya JPM! Yaani unataka mama atelekeze miradi yote ilioanzishwa na JPM?
Yaani unataka mama awaachie wala rushwa na mafisadi watamalaki[emoji35]! Yaani unataka mama uikane ilani ya uchaguzi aliyoinadi! Hivi watu wengine mkoje, mbona mnamchukia hivyo mama yetu huyu! Maana ni wazi, asipofanya hivyo ni sawa na kujitundika mwenyewe! Ova!
Pole weeeYawezekana yatakuwa yametokea shetani.
Suala la kujenga amani ya kweli katika nchi na taifa kamwe halitakiwi KUACHIWA kutegemea hisia za mtu binafsi.
Ipo misingi KAMILI ya democracy na Katiba inayowezesha hilo.
AMEN
Mkuu kupangua watu sio ishu maana hata JPM mwenyewe alikuwa anapangua kilawakati.Sasa kama mipango ya JPM kwanini alianza kupangua watu? Si angewaacha wale wale wa JPM ili amalizane miaka minne iliyobaki?
Umeona nimesema Samia aliingia kwa uchaguzi tofauti?Pumba tupu; Samia yuko pale kutoka na uchaguzi huo huo, kwa hiyo povu la nini
Kuna Vitu wananufaika wakumbuke kila Kitabu na Zama zake Mama Ana HIARI ya Kutawala Atakavyo HalazimishwiNi ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM.
Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile timu ya wasaidizi wake ni ileile anaweza kuwa anafunikwa na blanketi na halioni hilo?
Je, ni kwa nini mbinu hizo chafu zinafanywa? Je, mama haoni kuwa kuendelea na wasaidizi wasio kubaliana kifikra kuwa yeye ni Rais kwa sasa itakwamisha mipango yake?
Namshangaa mama Samia hajashtuka hilo. Kwanza kuanzia makamu wa Rais kila anapokwenda anaimba jina la Magu. Mawaziri wote wanaimba jina la Magu. Wote walioteuliwa na Magu hawaoni umuhimu wa Samia kwa sababu hajawapa chochote tofauti na walichopata kwa Magu. Kama ni uwaziri ni uleule, unaibu waziri uleule, n.k. Spika mwenyewe hayupo pamoja na Mama Samia Suluhu Hassan.Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM.
Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile timu ya wasaidizi wake ni ileile anaweza kuwa anafunikwa na blanketi na halioni hilo?
Je, ni kwa nini mbinu hizo chafu zinafanywa? Je, mama haoni kuwa kuendelea na wasaidizi wasio kubaliana kifikra kuwa yeye ni Rais kwa sasa itakwamisha mipango yake?
Chagga gang wanalewa konyagiMfumo wa upigaji tu hakuna jipya, wana hofu kama mama ataondoa mifumo ile, anaweza kuwatoa na watakosa kupiga hela. Lengo hapo nikumtisha Samia aone wapo wengi na awasikilize. Mitandao hiyo, SUKUMA GANG unajipanga.
Wao wanajenga chama chao ila wananchi tunajenga nn? HujiuliziKipigo watakacho kipata CHADEMA 2025 hawataamini, waache waendekeze umbea. CCM wanagombana lakini linapokuja suala la uchaguzi wanakua kitu kimoja. Maana wanajisahau kujenga chama, wanaendekeza majungu
Inahitaji akili pana sana kuelewa hii kauliWao wanajenga chama chao ila wananchi tunajenga nn? Hujiulizi
Unawafananisha wachaga wasomi na waelewa na nyie SUKUMA GANG msiokua na SHULE kichwani, hata siku hamjui ina masaa mangapi. .. kweli?!?!Chagga gang wanalewa konyagi
Swali gani unauliza la kijinga? Watu walimchagua magufuli tena kwa kishindo kutokana na utendaji wake na namna alivyotekeleza ahadi zake. Hii ni awamu yake ila mwenyezi mungu kampenda. Kwa hivyo samia hana la kufanya kama anataka kukubalika lazima afanye kama magufuli. Akienda kinyume na kuwafurahisha fisadi na wapinga maendeleo ataiweka ccm mahali hatari.Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM.
Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile timu ya wasaidizi wake ni ileile anaweza kuwa anafunikwa na blanketi na halioni hilo?
Je, ni kwa nini mbinu hizo chafu zinafanywa? Je, mama haoni kuwa kuendelea na wasaidizi wasio kubaliana kifikra kuwa yeye ni Rais kwa sasa itakwamisha mipango yake?
Hahaaaaaa . . .yaani nchi hii raha sanaNgoja mfungo uishe.
Atawatimua woote wajuaji