Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?


Nnahis wew bibie una maisha swafi sana




K’matata!
 
Mileage bibiye unakuta imesoma Sana, hafu wanaume huwa hatupendi kudharauliwa maana Kama unademu ameshapigwa na wanaume wengi hata uhuru na kutembea nae maeneo mbalimbali unashindwa, hafu hata ndugu Zaiko watakuzarau
 
Alafu wanaharakati Wanawake wanakuwaga na wivu wakiona Mwanamke mwenzao anamuheshimu na kumtii Mumewe,sijui kwa nini hawapendi kabisa!!
Alafu wengi wao nimegundua hawana tako
 
Wanawake mna Tabia ya kujisahau mnapokua mmepitia mahusiano mengi.

Mnatabia ya kumlinganisha ulie nae Sasa kwa kutamka maneno yanayoashiria afuate alivyokua anakutreat ex wako.

" Nikwambie BBY, kama uyu ex wangu (anakufungulia kabisa gallery ya simu umuone) alkua akinishika uku juu juu nilikua najskia Raha Sana. Sasa tatizo wee unagandamiza mno mpenz wangu"

Aisee,
Iyo kwetu Ni dharau kubwa Sana, ukizingatia wanaume tumeumbiwa misimamo na ubabe flani wa kutopenda kudharauliwa.

Kwa haraka haraka, Nsipo kuzaba makofi

Ntakujibu TU
"Mfate kabisa akakupe izo Raha maana inaonekana ata kumsahau huwez Hadi picha ake umesevu kabisa"

Afu baada ya hapo, NAKUBLOCK NA NAMBA AKO NAFUTA KABISA.

MAHUSIANO YANAFIA HAPO HAPO


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kamoja nilikapata nika kala mara mbili nikasoma gepu nikasepa zangu , huwa ni wajuaji sana .
 
Ofkoz hakuna mwanamke anayekuwa chini ya himaya yangu mimi the Great ODM afu asiwe na maisha swafi...

Kwa taarifa yako Kasie wala hatumii barakoa... sehemu anayoishi iko full sanitized, wale wadudu wanajuta kupasogelea...
Mmmmmh haya mzee
 
Tatizo kubwa ni kuwa:
Wanawake huwa hawaachani na ma eX wao. Sasa ukiwa na mke mwenye ma-eX 30 jiandae kisaikolojia. Kila siku utakuta kachoka tu, maana kila anakoenda anakutana na eX mmojawapo anakamuliwa Kama kawa.

Pili, mwanamke aliyeliwa sana ni vigumu kumtosheleza kwa sex, maana ashakutana na mb.o. saizi zote, hata Kama humiliki kiba100 ataona unacho.

Tatu, anakuwa na stress na kisirani muda woote, maana kwenye mahusiano mengi aliyonayo (sabb hayakomi akiolewa) kuna wanaomkwaza huko daily, hasira anakuja kumalizia kwako
 
Mwamba hizi point zimesimama sana, hapa umemaliza kila kitu, binafsi nimeshapitia hii hali na demu mmoja hivi.

Huyu demu alikuwa anakisirani sana Kenge yule kumbe ma X zake alikuwa anawasiliana nao na wakigombana tu, hasira zote zinaamia kwangu.

Kaziyangu ni kubembeleza kila siku nilipokuja kugundua nilijiona fala sana. Sintasahau hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…