Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Mimi siwezi fumania mzee maana hata simu yake sina mawazo ya kuishika .
Ila kunashida moja nimeona tokea single hadi now wanaume wachepukaji ni waliooa sasa sijui kwanini .
Tuelezeni.
 
Kwenye ndoa bora uwe msaliti true vingine kazi ipo ndugu yangu kujisemea umsubiri mkulima huyu huyu apande mazao yakue kila mwaka kwenye shamba lile tunakuwa tunajidanganya kabisa .
 
Tatizo nyie hamuchepuki mpaka muhamishe Upendo wote kwa Mchepuko ndo mchepuke....
Hamuwezi Kuiba......
Huwa tunaiba Sana msijiamimishe unafikiria mnaweza kuturidhisha na nyie mnatest tofauti Kuna wanaobembeleza, wakunaji wazuri, wahongaji, wenye mapigo tofauti wenye kujua Sana mapenzi. Ndio Mana nasema kumridhisha binadamu ni ngumu kila mtu atafte furaha yake hyo ya ku expect kwa mtu unaumia.
Hyo ya kuhamisha upendo si kweli Tena wengine huzidisha upendo usishtukie.wanawake wanaiba na wanakuletea watoto nje hujui
 
Kwenye ndoa bora uwe msaliti true vingine kazi ipo ndugu yangu kujisemea umsubiri mkulima huyu huyu apande mazao yakue kila mwaka kwenye shamba lile tunakuwa tunajidanganya kabisa .
Sio msaliti tu usiweke mayai yote kwenye kapu moja kuwa na option hata kumi ukiwa na moja ikizingua mwanzo wa kilio. Kuna watu nawajua wanachepuka hamna ugonvi Wala Nini sijui kumridhisha lazima tukubali Kuna mda una mchoka mtu na ukitoka ujue no real love.
Wanawake tujipe raha kufuraisha binadamu hawaridhiki ng'o
 
Msaidie hizo kazi zinazomfanya asiende na wakati utaona atarudia kuwa mzuri tena kama malkia wa shamu.
 
Tuseme hvi tufanye majukumu yetu kama wake halafu tuendelee na zile raha zetu za kila siku.
 
Tuseme hvi tufanye majukumu yetu kama wake halafu tuendelee na zile raha zetu za kila siku.
Fanya Mambo yako Ila kujifanya eti unamfuraisha utaumia tu raha jipe mwenyewe tu. Binadamu anaridhikaje na kitu kimoja mimi binafsi siwezi
 
Mara nyingi matatizo hayo yanakuwaga sana kipindi mpo under 28 kwani mawazo yenu yanatuonaga hivi
 

Attachments

  • uu5.jpg
    19.3 KB · Views: 1
Mara nyingi matatizo hayo yanakuwaga sana kipindi mpo under 28 kwani mawazo yenu yanatuonaga hivi
Maisha ni kutulia nikujiheshimu nakujipenda .
But ukija kuwa na watoto weka kujipenda aside.
 
Hivi wanaume mnajua watoto tokea mimba mpaka ampate mpaka akue ni mchezo nani amewahi experience shida kama sio wanawake unamnyonyesha mtoto anakunyonya kama mbwa .
Halafu umuogeshe umpe services zote .
Bado ukija akupikie ule akupe attention kweli yote?
 
Kama thinking capacity yako ndiyo
hii,aliyekuoa amepata hasara.
Na kama hujaolewa bora usiolewe
maana utamsumbua kijana wa
watu katika ndoa.
 
wewe humu jf tuu umetembea na wajuba wangapi? tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…