Humu hatupigani unaelezwa ukweli halafu hutaki.
Unataka usifiwe na hujitambue nope
Shida gani ukisaidiwa majukumu unayoshindwa kuyatimiza kama mume alivyotarajia?Kubweteka hivi mnajua maana ya familia trust ukiwa mama unaelewa.
Mimi na ndoa yangu kwanza haikuhusu .Kama thinking capacity yako ndiyo
hii,aliyekuoa amepata hasara.
Na kama hujaolewa bora usiolewe
maana utamsumbua kijana wa
watu katika ndoa.
Mimi na ndoa yangu kwanza haikuhusu .
Kumfumania huo muda sina halafu kwanza tangia lini mume wangu awe na muda wa kulumbana na mimi kwani hajitambui kwani hatambui majukumu yake??
Wanaume 90% hawajui ndoa nini nandio maana wake zao wamechoka kam nini
Usijifunike kwa tambara bovu ukazani hatuoni tunaona na ndio tunajaribu kukutoa . UjitambuePole kwa matatizo ya ndoa,tazama ulipoanguka,inuka jikung'ute mavumbi,muombe Mungu.
Songa mbele kwa tahadhari.
Usijifunike kwa tambara bovu ukazani hatuoni tunaona na ndio tunajaribu kukutoa . Ujitambue
Kama wewe ulivyochoka,hadi jamaa anacheki alternative?? 😂 😂 😂Mimi na ndoa yangu kwanza haikuhusu .
Kumfumania huo muda sina halafu kwanza tangia lini mume wangu awe na muda wa kulumbana na mimi kwani hajitambui kwani hatambui majukumu yake??
Wanaume 90% hawajui ndoa nini nandio maana wake zao wamechoka kam nini
Mimi sina shida na ndoa yangu best ungejua napendwa na kupenda sijaforce penzi hata akitoka nje i dont care kwa sababu majukumu anajua .Its seems you have mental problems.
Na usipende kuanika matatizo ya ndoa yako hapa jukwaani.POLE.
Sawa msaidie kazi ili apate muda wakujiweka sawa maana kulea mtoto na bado apike ule bado alee mtu mzima pia sio kazi rahisi mke anayeenda kazini huyo ndio atajiweka fresh ili asiaibikeKatoto kazuri uzi umefungwa hapa hapa hakuja jibu lingine sahihi
Hakuna mtu mkamilifu, aliyepewa vyote. Ni muhimu kutumia kadhaa ili kupata radha na raha tofautitofauti
[/QUOT
Msionyeshe basi kuwa mnachiti.
akiwa na unyenyekevu na peace ipo automatic man unajikuta unatoa msaada wa kazi hapo nyumbani lkn nyumba ikiwa ina kelele nyingi toka kwa ke basi me atakuwa anarudi kulala huku akitamani pakuche fasta asepe [emoji3][emoji3]Sawa msaidie kazi ili apate muda wakujiweka sawa maana kulea mtoto na bado apike ule bado alee mtu mzima pia sio kazi rahisi mke anayeenda kazini huyo ndio atajiweka fresh ili asiaibike
Huwezi kuwa peace kama unataka matatizo tu . Always if you treat a lady well no war inside the house kuna watu wanatembea mpaka wanaacha wenyewe hata wake zao hawajui wewe ninani unafumaniwa kama limbukeni??Tumefunga uziView attachment 1465487
Basi msioe endeeleni kuzini.hakuna mwanaume anaeridhika na mwanamke mmoja Mungu hajamuumba mwanamme huyo tangu dunia ianze na kama akikuambia anaridhika na wew huyo ni muongo..ndo maana Mungu kajalia wanawake ni wengi kuliko sisi.
na Mungu anapenda tustareheke na tupumzike kwa viumbe hawa so msipanik kabisa furahie suala hilo kwasababu ni kheri kwenu pia
hapana cha msingi ni kujiwekea limit na kumthamini ulie nae ila mahitaji ya mwanaume si mwanamke mmoja. tunjitahid kupambana tusiwakwaze wake zetu. ndio maana tukaruhusiwa kuoa wa 4 japo na bado haikidhi vile vile macho yatakutoka tuu..kikubwa ni kukandamiza nafsiBasi msioe endeeleni kuzini.