Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Hapo kwenye "MPEWE NINI MRIDHIKE" ndo kwenye jibu. Kuna vitu tukiwaombaga mnaletaga ngumu. Mara muanze kuona tumewadharau kisa tumeomba "hiyo kitu"
 
Hapo kwenye "MPEWE NINI MRIDHIKE" ndo kwenye jibu. Kuna vitu tukiwaombaga mnaletaga ngumu. Mara muanze kuona tumewadharau kisa tumeomba "hiyo kitu"
Acha dhambii Mungu sio mjinga kufungua akili huko ni pabaya panaleta madhara baina ya watu wawili
 
ha ha ha huo ndio ukweli mkuu, ukiona wengine wametulia ndani bila kutoka toka nje jua wanavumiliana tu au wamekubali matokeo
Kama mimi nimekubali matokeo ila mwanaume wanaume ni wale wale ila kweli kuna wanawake hawatoi hata tigo ila wanajua mapenzi nini??
 
sijui kwa kweli, mm nina mke lakini hapa natongoza muda huu sijui unanisema mm
 
Nimeshajua mnapewaga nini dhambii?
Na ada za watoto zinaishia huko zote na mishahara yenu
Hakuna cha Bure Ndugu yangu, sema hua tunajitahid ku balance ili na watoto pia waende Shule. Kama kuna anaehonga nyumba ndogo/mchepuko hadi watoto hawaendi Shule huyo sasa bwege.
 
Hakuna cha Bure Ndugu yangu, sema hua tunajitahid ku balance ili na watoto pia waende Shule. Kama kuna anaehonga nyumba ndogo/mchepuko hadi watoto hawaendi Shule huyo sasa bwege.
Wapo kabisa tena asilimia kubwa tu ba wanarudi wamelewa nakuwapiga wake zao endapo wakiulizia matumizi
 
Wapo kabisa tena asilimia kubwa tu ba wanarudi wamelewa nakuwapiga wake zao endapo wakiulizia matumizi
Dah,
Hao siwezi kuwasemea sababu sipo kundi moja nao. Mie Mke wangu nampenda Sana na siezi kumpiga kisa nina mchepuko. Kwanza siku nikienda kuchepuka hatojua hata.

Ila tu sababu haezi kunipa "Vyote" basi acha vingine nikavitafute kwa Wengine.
 
Ukweli ni kwamba!mwanaume hakuumbwa na mungu aishi na mwanamke mmoja!!ref.king solomon!!!Hizi dini zenu ni mipango ya watu wachache na sio mungu!!!Idadi ya wanawake itaendana na uwezo binafsi wa mwili na mali!!Hata ukiwa na wanawake 1000 mungu hatokuhukumu kwa hilo kama hakumuhukumu suleimani wewe kwanini uhukumiwe???
 
Dah,
Hao siwezi kuwasemea sababu sipo kundi moja nao. Mie Mke wangu nampenda Sana na siezi kumpiga kisa nina mchepuko. Kwanza siku nikienda kuchepuka hatojua hata.

Ila tu sababu haezi kunipa "Vyote" basi acha vingine nikavitafute kwa Wengine.
Haya kama humuonyeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…