Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hapo kwenye "MPEWE NINI MRIDHIKE" ndo kwenye jibu. Kuna vitu tukiwaombaga mnaletaga ngumu. Mara muanze kuona tumewadharau kisa tumeomba "hiyo kitu"Unakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.
Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?
Semeni, hili ni jukwaa huru.