Mke anakukomoa after few months.?? they gotta be kidding..!Ukitaka mme asifanye hayo mpe utamu anapouitaji; wanaume wengi Sana hoja Yao Ni kwamba; "mke ananikomoa"
A few months? Already there's monotony in it. And breaking that monotony the quickest catch is an exMerry Christmas Dears,
Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda mfupi tu huwa mnajikuta mmebadilika kabisa, Je, ni kwanini..!?
Enwei, karibuni sikukuu ila mje na kifukuza nyuki maana siyo kwa bucket hii ya fanta orange..!! [emoji23]
Mke anakukomoa after few months.?? they gotta be kidding..!
kwahiyo ni kumpa utamu mpaka ubinuke ndiyo atatuliza kiranga.?? Haha.!
Merry Christmas Dears,
Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda mfupi tu huwa mnajikuta mmebadilika kabisa, Je, ni kwanini..!?
Enwei, karibuni sikukuu ila mje na kifukuza nyuki maana siyo kwa bucket hii ya fanta orange..!! π
'Ikipita week hadai utamu'..!Mwanaume akikosa hiyo Ni changamoto kubwa, in 6 months majukum Na reality ya life ndo inaanza one kana, then mwanamke anapunguza Huduma; mwanaume will go out!
Kama mume Ni active, kabisa, inapit week adai utamu, red flag!
Ili kuwafariji na kupunguza utegemezi wa mgegedo nyumba kubwa, hafu ukioa michepuko ikifahamu itakavyotaka ijimwage kwako kisa inazani inamkomoa mama mwenye nyumbaMerry Christmas Dears,