Kwanini wanaume waliooa huwasiliana na marafiki zao wa kike wiki chache baada ya ndoa?

Carleen

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
7,982
Reaction score
27,272
Merry Christmas Dears,

Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda mfupi tu huwa mnajikuta mmebadilika kabisa, Je, ni kwanini..!?

Enwei, karibuni sikukuu ila mje na kifukuza nyuki maana siyo kwa bucket hii ya fanta orange..!! 😂
 
Enwei, karibuni sikukuu ila mje na kifukuza nyuki maana siyo kwa bucket hii ya fanta orange..!! [emoji23]
A few months? Already there's monotony in it. And breaking that monotony the quickest catch is an ex
...[emoji16][emoji16]
 
Mke anakukomoa after few months.?? they gotta be kidding..!

kwahiyo ni kumpa utamu mpaka ubinuke ndiyo atatuliza kiranga.?? Haha.!

Mwanaume akikosa hiyo Ni changamoto kubwa, in 6 months majukum Na reality ya life ndo inaanza one kana, then mwanamke anapunguza Huduma; mwanaume will go out!

Kama mume Ni active, kabisa, inapit week adai utamu, red flag!
 
Sometimes huwa tuna-act kama tumepoteza attention kwa hao marafik,
Sometimes cku za mwanzoni love inakuwa in deep....

Sometimes mke anakuwa kashaanza kuleta upuuz hivyo tunapoteza attention
Sometimes..........
Sometimes..........

Japo sijaoa bad but that's facts
 
Merry Christmas Dears,

Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda mfupi tu huwa mnajikuta mmebadilika kabisa, Je, ni kwanini..!?

Enwei, karibuni sikukuu ila mje na kifukuza nyuki maana siyo kwa bucket hii ya fanta orange..!! 😂

Ulifungiwa kioo??, pole sana.
 
Nipe location..Kifukuzia nyuki ninacho hapa tena kinatumia umeme kabisa.
 
Mwanaume akikosa hiyo Ni changamoto kubwa, in 6 months majukum Na reality ya life ndo inaanza one kana, then mwanamke anapunguza Huduma; mwanaume will go out!

Kama mume Ni active, kabisa, inapit week adai utamu, red flag!
'Ikipita week hadai utamu'..!
Okay, will put that in my mind..!
 
Merry Christmas Dears,

Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda mfupi tu huwa mnajikuta mmebadilika kabisa, Je, ni kwanini..!?

Enwei, karibuni sikukuu ila mje na kifukuza nyuki maana siyo kwa bucket hii ya fanta orange..!! 😂
Ili kuwafariji na kupunguza utegemezi wa mgegedo nyumba kubwa, hafu ukioa michepuko ikifahamu itakavyotaka ijimwage kwako kisa inazani inamkomoa mama mwenye nyumba
 
Back
Top Bottom