Kwanini wanaume wananunua dada poa?

Wadada poa Wanacheck population. Hawana haja ya kuzaa kama mke home au demu wa mtaani. mwanamume atakwenda pale kukatia kiu. Hetegemei kusikia "Nina mimba yako!"
Pili idadi ya Wanawake ni karibu mara dufu ya idadi ya Wanaume. Kama kila mwanamume ataishi na mke wake tu, wadadapoa ni binadamu wenye hisia kama wale wa majumbani. Wanakidhi kiu yao japo kwa ujira mdogo ili waweze kuishi. Nawasilisha.
 
Hizi si Hoja za msingi bana... tuwe serious
 
Demu aliyepoteza bikra yake kwa kupenda kwake anatofauti gani na malaya?. BTW Wacha niingie viwanjani, vyombo vikikolea naweza kuja kuendelea kubishana.

Kwa muda huu unaweza endelea kuchakata maoni ya mdau hapa
Hii ni fallacy...huwezi sema kisa demu sio bikra basi ndo agawe kwa kila mtu anayeomba automatically tunarudi kule kule...
So panga hoja mpya
 
Usichojua wanaume 95% (wenye hela lakini) wananunua dada poa, sema level zipo tofauti. Juzikati nimeshuhudia mkora mmoja kawanunua wa 3 kawapa 600k kila mmoja kalala nao room moja 2 days anageuka tu.

Hata hao 5% hawanunui pengine wako kwenye ndoa ama serious mahusiano lakini wana kale kademu wanajua bila pesa hakatoi papuchi, yaani ukikaita sehemu lazima zitumike au kakiondoka kaondoke na kibunda ama laah, ukila leo kesho kanapata shid aya hela, nako kanauza kwa kukopesha.

Ukiskia mtu anaitwa Injinia by profession huyo pigia tu mstari ni wachache sana waliookoka.
 
Unarudi home night ukiwa na upwiru kufwaa, unakuta mtu yupo period au hayuko kwenye mood...unafanyaje kesho jioni? Kununua siwezi, ila siwapingi wanunuzi..sie wengine tunaamua kuwa na "aunt-uncle friendship" ili kuounguza hizi kadhia.
 
So wat is the solution
 
Unarudi home night ukiwa na upwiru kufwaa, unakuta mtu yupo period au hayuko kwenye mood...unafanyaje kesho jioni? Kununua siwezi, ila siwapingi wanunuzi..sie wengine tunaamua kuwa na "aunt-uncle friendship" ili kuounguza hizi kadhia.
Aunt uncle friendship
 
Kabla ya kuoana: tendo linafanyika kwa ubunifu na kujituma
Baada ya kuoana: tendo lina tumika kama fimbo na hakuna yale mautundu ya mwanzo.
 
Wauza nyapu ni moja ya viumbe muhimu sana kwenye jamii

Hii biashara ya kuuza nyuchi ni miongoni mwa biashara kongwe sana duniani
 
Kwasababu wanataka kutomberner nao, nasema uongo ndugu zangu?
 
Acha waje kujibu hivi ma Hawa wa mitandaoni ni dada poa🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…