Joseph Mutahaba
New Member
- Mar 21, 2021
- 4
- 5
Wadada poa Wanacheck population. Hawana haja ya kuzaa kama mke home au demu wa mtaani. mwanamume atakwenda pale kukatia kiu. Hetegemei kusikia "Nina mimba yako!"
Pili idadi ya Wanawake ni karibu mara dufu ya idadi ya Wanaume. Kama kila mwanamume ataishi na mke wake tu, wadadapoa ni binadamu wenye hisia kama wale wa majumbani. Wanakidhi kiu yao japo kwa ujira mdogo ili waweze kuishi. Nawasilisha.