Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

Kwasababu yanakuwa open... yakifunikwa vizuri hawaangalii, hakikisha yanafunikwa vizuri... Ni sawa na kusema kwanini mtu akiona chakula anawaza kula, ila chakula kisipooneka kama sina njaa siwezi kuwaza kula pia...
 


Tunavuta hisia tulivyokuwa watoto
 
Ndo maana nikitoka kupeleka moto huwa narudi reverse/kinyumenyume hadi ilipo boxer navaa chapchap, siruhusu mwanamke aone makalio yangu kwa namna yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…