Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntuchake hua hatuangalii maziwa Ila tunaangalia moyo Kama huyo kiumbe ana moyo mzuri wa kibinadamu na kwa Bahati mbaya Sana maziwa yanatukinga tusiuone moyo vizuri.Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuonge nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Hata yangefika magotini ningeinjoiUngekuwa ww ungefurahia kuangaliwa maziwa yanafika kwenye kitovu
Eti watu wana-admire uumbaji wa Mungu eye anaona tatizo?!Hili nalo ni la kukasirika kweli?!!! 😹
Kwani si mnayasimamisha ili yaangaliweMozowo hoyo hoyo mnoyoyosomomosho kwo lozomo!! Mbona bado manayaangalia hayo yanayosimamishwa kwa lazima?
Nyie ndo watu mnaohitajika kwenye jamii maana mnajikubali sanaHata yangefika magotini ningeinjoi
Balehe inamsumbua!Hili nalo ni la kukasirika kweli?!!! 😹
Kwanini ninyi Wanawake mna tabia ya kuacha sehemu kubwa ya "maziwa" yenu wazi?Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa).
Hii tabia inakera ipo siku nitakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Atoto mi nimeshaona maziwa yako tayari😅Hebu weka picha tuone kwanza ndio tutapata jibu.
Huwa tunashangaa tu vile vitu ambavyo hatunaNachukia sana karibia wanaume wote naokutana nao wana hii tabia
Hata mzee baba nae ni mwanaume anakutumbulia macho!Nachukia sana karibia wanaume wote naokutana nao wana hii tabia