Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuonge nae badala ya kueka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku ntakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
ntuchake hua hatuangalii maziwa Ila tunaangalia moyo Kama huyo kiumbe ana moyo mzuri wa kibinadamu na kwa Bahati mbaya Sana maziwa yanatukinga tusiuone moyo vizuri.
Hakuna mwanamme mwenye shida ya kunyonya.
 
Ni mpumbavu pekee anaeweza kulikagua Gari na asizingatie plate number, plate A,B,C,D au E ina uhusiano wa karibu sana na umri wa gari hivyo unaweza guess ni kwa kiasi gani imetumika/imepigika na ukajiridhisha na uimara/ubovu wake.
 
Hivi kwanini wanaume upenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshim kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa).

Hii tabia inakera ipo siku nitakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.
Kwanini ninyi Wanawake mna tabia ya kuacha sehemu kubwa ya "maziwa" yenu wazi?

Je lengo la kuyaacha wazi sio ili Wanaume wayatazame??
1721104095099.jpg

Mwanaume rijali Ukiwa unaongea na mwanamke kama huyu 👆 utaangalia nini? Macho yako yataangalia wapi??

Acheni kutujaribu.
 
Back
Top Bottom