Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

Tusipotazama mtadai haisimami! Shoga! Waoga! Hata ikibidi mtaenda kuombewa na hata kukimbilia kwa waganga wapiga Ramli!
Kweli hata umpende vipi mwanamke ni shida!
 
Kwa nini mnaweka matiti yenu wazi?
 
Na ww usiwe unamungalia pindi anaangalia ayo maziwa akikuangalia jifanye kam hujamuona hivi
 
Maziwa yana raha wewe
 
Umtemee mtu mate kisa hizo ndala zako kifuani? Ungekuwa na ziwa konzi si ungetembea na panga.
 
Ni matokeo ya kutembea na vifua ambavyo havijastirika. Mwanamke unavaa kinguo manyonyo almost yapo uchi unatarajia nini. Yakiwa kwenye nguo yamefunikwa vizuri hatuna shida nayo. Ila sasa unakuta yanaonekana unaangalia pale lilipotengana ziwa moja na lingine panaonekana.

Wanume hapo mawazo tayari tena anatamani yawe wazi kabisa ghafla ayaone
 
Khaaaaa
 
Weka ka picha tuone kifua na hayo maziwa kama kweli yanakidhi vigezo!
Bila hivyo basi tangazo lako ni batili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…