and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Utofauti wa jiografia, wanawake wa Kiafrika ndivyo asili yao ilivyo, hivyo wanaume wa kiafrika wamezoea.
Wanawake wa India , China n.k hawana makalio, hivyo hata wanaume wa huko wamekua na wamezoea, hivyo kwao makalio sio issue.
Japo siku hizi naona kuna wimbi la wazungu wengi sana kupenda wanawake wenye makalio, hata wanawake wa kizungu siku hizi wanafanya surgery sana.