Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kweli kabisa wala hujakosea nilkuwa malaya wa kutupwa nimedanga vijiwe vyotee nawajua wanaume nje ndanienzi wafanya umalaya ulijionea mengi sana sishangai kutoa hii secret experience hapa kwa jukwaa
HahahahahUkitoka wewe na mm niingie[emoji12]
Mie nalindwa na Damu ya Yesu Mkuu, chukua mpira nipe pasiMe nimeaga kwetu, kuna Engineer Mtaalam Mganga Dokta wa JF anamlinda huyo dada ujue!..
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji23]Mleta uzi umesema wewe ni mwanamme!!!
Najiridhisha kuwa wewe ni Daktari wa binadamu hivyo unawachungulia sana wanaume wenzio unapowahudumia.
Hakuna mwanamume kamili anaweza andika hiki ulichoandika, nina mashaka makubwa sana tena tangu nigunduwe Warumi kumbe ni punga anapumuliwa na akathibitisha mwenyewe humuhumu kwamba ana bwana wake.Mwanaume
my ribs jaman!Check your targeted Market, soko lako ni la chini, and this define your level/standard
tumia dry skin lotion haina shida.Mimi sipendi kupaka mafuta kwa kuwa ngozi yangu ina mafuta tayari, nikipaka nakuwa nimejiovadozi na nikitembea ktk jua inakuwa jau, ila sijawai kupauka.
Nguo za ndani lazma nivae.
Mimi sipendi kupaka mafuta kwa kuwa ngozi yangu ina mafuta tayari, nikipaka nakuwa nimejiovadozi na nikitembea ktk jua inakuwa jau, ila sijawai kupauka.
Nguo za ndani lazma nivae.
Ndo ww ulisema unataka kutiwa mkuyenge na sam mahela wa itv??Mwanaume
Ukimkuta mwanaume anapaka mafuta ktk makalio basi mchunguze sana mwenendo wake.Kweli kabisa hawapaki mafuta hasa kwenye makalio wamepauka balaaa na inapelekea ukurutu chini ya uvungu wa makendeee
Ushauri wangu watumie mafuta ya nazi kwa suluhisho lao.
Lotion ndyo kabisa nakuwa kama nimemwagiwa maji, yaani kiufupi ngozi yangu haiitaji kitu inayoitwa mafuta.tumia dry skin lotion haina shida.
my ribs jaman!