Kwanini wanaume wenye matatizo ya nguvu za kijinsia huwa wakali mno na wakati mwingine wanakua wanyonge na wenye mfadhaiko sana?

Kwanini wanaume wenye matatizo ya nguvu za kijinsia huwa wakali mno na wakati mwingine wanakua wanyonge na wenye mfadhaiko sana?

Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya,

Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba linalojadiliwa ni dhambi au uchafu, kumbe bana jamaa hana hisia, mambo yake yalishalegea na kupoa kabisaa, network haishiki kabisaaa, anaskia kwa watu tu habari ya mgegedo.

Wengi hukimbilia kujificha kwa kulambalamba nyuchi kumba hawana khabari huko chini, chubulu ni legevu haiendi hewani.

Nini huwafanya wawe wakali au watakatifu kihivyo?
Mada za hivo huwakumbusha matatizo yao, jambo ambalo huwapelekea kureact negatively.
 
Nipo na peni na daftari kuorodhesha wote watakaokuja na sukari ziko juu (Wenye ulegevu kwenye chululu) 😹😹😹
 
Vibe la weekend linaanza leo dadeki

 
Back
Top Bottom