Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

Kinachomvutia mwanamke kwa mwanaume ni "muonekano", siyo jina, dini, rangi, tabia n.k.
Yaani mwanamke akimwona mwanaume, kwa kuangalia umbile lake la mwili ikichangiwa na sauti K inalowa yenyewe.
Pesa ni shortcut ya kumvutia mwanamke lakini hakuna ufahari wala thamani kwa mwanaume kumvutia mwanamke kwa kutumia pesa maana ikitokea hivyo ni mwanamke anadili na pesa siyo na mwanaume.
 
Wewe kuwa na hayo majina afu anatokea Dangote au chifu Ogalamwambabuoiu from Lagos state anampa ofa ya kumtengeneza kucha na nywele paris kwa private jet.
 
Daah..mimi mwakipasile sina changu hapa..nijiondokee tu
Tupo wa Mbeya,tunawapenda [emoji23][emoji23]
Screenshot_20210915-193819.jpg
 
Back
Top Bottom