Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

Kwahiyo Saint Anne utanipokea mimi Mwakipasile Mbillinyi niwe mpenzi wako?

Ukinikubalia nitakupa gunia moja la viazi na debe la maparachichi.
Sawa Darmian mwakipesile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Btw huwa napenda jina lako na Avatar..siku utakayobadilisha ndiyo siku nitakayoacha kukupenda .
 
Umesahau Wasanto, Weiroma, Mgesi, Marwa, Mwita, Gichonge/Kichonge, Bure/Bhurwe, Mambya, Mahende etc [emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji3]
Na sisi wakina KIFARU, Komba, Tembo, Injewele, Ngomela, [emoji4][emoji16][emoji23]
 
Nasisi akina masatu, masami, magane
Misana, et nikweli wanawake hatuwavutii..
😂😂😂
 
Vipi kuhusu jina Lugumya Mkuu! Emu nichekie huko, afu unipe mrejesho!!
 
Kwa hiyo akina Kabunduguru, isekelegesye, kufakunoga, Malalikamalalika, mafisango, mutabasibwa na Muvangatabangu wanapata taabu sana!!!
 
Kinachomvutia mwanamke kwa mwanaume ni "muonekano", siyo jina, dini, rangi, tabia n.k.
Yaani mwanamke akimwona mwanaume, kwa kuangalia umbile lake la mwili ikichangiwa na sauti K inalowa yenyewe.
Pesa ni shortcut ya kumvutia mwanamke lakini hakuna ufahari wala thamani kwa mwanaume kumvutia mwanamke kwa kutumia pesa maana ikitokea hivyo ni mwanamke anadili na pesa siyo na mwanaume.
Cha muhimu ni kupata mbususu basi. Unaipata kwa mvuto asili au kwa kutumia ndalama lengo ni lile lile
 
Unataka kuniambia hawapendi jina la Ndugai
Bashe
Lugola
Msukuma
Kibajaji
Asikudanganye mtu mwanamke anapenda pesa tu.
 
sisi wakina elinyau mbona hatupo 😕😕😕
 
Kwahiyo sisi ambao hatujawahi kupita na wenye hayo majina sio wanawake??🙄🙄
 
Labda kama wanayapenda hayo majina na sio watu wenye hayo majina...

Mwanamke huanza kuvutiwa kutokana na character ya mtu, kwa sababu maishani mwao huanza kujijengea picha ya mtu amtakaye tangu anapovunja ungo...

Ndio maana ni rahisi mno ku-win moyo wa mdada kama ukiwa mtu wa kujali, tabia zako njema zikishahabiana kwa kiasi na baba yake mzazi n.k
 
Sie wakina Njeta, Ngaina,Sangiwa,King’olamigunga,Sekiete, Shoko, Sarumbo,Kitoi, Kimomwe, Maging’a, Kikwari, Chenkeri, Namvua, Ngatula, Natujwa vipi hatustahili warembo?
 
Back
Top Bottom