Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

Nishawahi kupendwa na nilishawahi kupenda pia
Nilikuwa nasubiria paragraphs kama 6 hivi 😬😬

Ila mpaka hapo utafiti wa mtoa mada uko hatiani 🙂 Inabidi aje na majina pendwa ya upande wa pili tuone kama uliyempenda yumo au la, kabla hatujafanya conclusion.
 
Nasikitika kuandika sipo kwenye hilo kundi la hao wanawake wapendao majina tajwa hapo juu😊
 
Pesa haimfanyi mwanamke awe na upendo wa dhati na wewe.
Pesa muhimu ila haimfanyi mwanamke akakupenda kwa dhati.
Katika mapenzi kuna mambo mawili
1. Mwanamke kukupenda wewe ulivyo, uwe na hela au usiwe bado mtaishi kwa upendo. Kila siku atakuombea na pia atakuwa makini sana kwenye utumiaji wa pesa
2. Mwanamke kupenda mali zako. Hata mkitoka out mkatumia 1M yeye kwake sawa tu. Ila siku ukiishiwa hautamuona. Utakuta mtu alikuwa anafanya kazi benk, akafukuzwa kazi. Mwanamke naye akamkimbia.
Pesa ni muhimu ktk mapenzi (ndoa) ila siyo kila kitu. Ogopa sana kupendwa kwasababu ya pesa
Tafuta pesa
 
Nasikitika kuandika sipo kwenye hilo kundi la hao wanawake wapendao majina tajwa hapo juu😊
Mi naona kama mleta mada alikuwa anamuongelea mwanamke wake yeye ila sio wanawake kama alivyoandika kwenye uzi
Ndio maana tunamshangaa
 
Sie wakina Njeta, Ngaina,Sangiwa,King’olamigunga,Sekiete, Shoko, Sarumbo,Kitoi, Kimomwe, Maging’a, Kikwari, Chenkeri, Namvua, Ngatula, Natujwa vipi hatustahili warembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1.Jeff
2.Matt
3.calvin
4.Alvin
5.Sydney
6.cliff
7.James or Jimmy
8.Brian
9.Dan
10.Erick
Hii ilikuwa zamani shekh,sasa hv hata uitwe chakubanga,kama cash money ipo,hata mtoto wa waziri atakupenda tu.
 
mimi silipendi jina linalo fanana kiwanda kinacho zalisha bia pamoja na kifaa cha kufingia milango
 
Back
Top Bottom