Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

Upo sahihi mkuu,mm Ni mmoja katika majina tajwa hapo...huwa inanirahisishia Sana kupata mbususu japo kwa jitihada zangu lakini jina langu pia linaongeza urahisi....au unakuta sehemu labda training,semina,warsha tumeandikisha majina watu wengi watoto wakike watakuwa na kimuhemuhe kutaka kujua huyu ******* Ni nani

Utasikia nyie akina fulani watundu kweli sijawahi kumuona ******* alietulia ,hapo ujue ameisha..

Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote
 
Umesahau Wasanto, Weiroma, Mgesi, Marwa, Mwita, Gichonge/Kichonge, Bure/Bhurwe, Mambya, Mahende etc [emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji3]
Mgesi ni jina la kike au kiume au linatumika na jinsia zote? Make kuna binti hapa kitaa kwetu unaitwa Mgesi ni mkurya kutoka Mara huko.
 
Sawa Erick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…